Rais Kikwete; kuna tetesi kuwa jangili ulilolipa msamaha limekamatwa tena ma bunduki


Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,891
Points
0
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,891 0
mh rais kuna tuhuma zipo katika star tv inasemekana jangili lililokamatwa liliwahi kupata msamaha wako.
tunaomba kupitia msemaji wako wa ikulu uje huku kutolea ufafanuzi.
na vilevile atueleze kuhusu pembe za ndovu zilizokutwa china mmiliki tumeshamjua ila mwenye mzigo ni kitendawili.
naomba usimtume nape wala wiliam malechela.

ili kunielewa vizuri tune star tv sasa hivi kwani na rafiki yako TUNDU ANTIPAS LISU yupo hapo, karibuni.
 

Forum statistics

Threads 1,295,163
Members 498,180
Posts 31,201,909
Top