Afanya mapenzi na mifupa ya maiti


M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Likes
0
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0 0
[h=1]Afanya Mapenzi na Mifupa ya Maiti[/h]
121123222310_skeleton_304x171_internet_nocredit.jpg


[h=1]Afanya mapenzi na mifupa ya maiti[/h]


Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.
Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti.
Wakati alipokamatwa alipatokana akiwa na mifupa ya binadamu,mafuvu, na viungo vyengine.
Pia aliptikana na picha za vyumba vya maiti na makaburi.
Bibi huyo anasema ana mahaba makubwa na maiti.

Hapa wazee ndio tunao Dunia imeisha na Mapenzi yana Imaliza Dunia, Vidume wa Nguvu tupo then Warembo wanaenda Kulala na maiti ni laana au
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,709
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,709 280
Mapepo tu huyo, aje kwa kakobe akaombewe,lol.
Afadhali nanihii sio mfupa, watu wangekata wakaweka ndani.
 
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
6,625
Likes
912
Points
280
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
6,625 912 280
Huyu mama sio bure!!Ni mapepo yaliyozeeka ndani yake
 
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,272
Likes
78
Points
145
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,272 78 145
kumbe mmama,mapenzi gani hayo bila dushelele?
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,581
Likes
836
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,581 836 280
Mapepo tu huyo, aje kwa kakobe akaombewe,lol.
Afadhali nanihii sio mfupa, watu wangekata wakaweka ndani.
I can't agree more, nafikiri Kongosho anaweza amini at least this once!
 
Last edited by a moderator:
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,389
Likes
147
Points
160
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,389 147 160
MWANA WA ADAMU na arudi tu sasa!! ENOUGH IS ENOUGH!! Khaaaaaa!
 
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
575
Likes
18
Points
35
Age
33
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
575 18 35
Dunia imeisha kwa kweli!
 
N

Nzagamba Yapi

Senior Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
167
Likes
5
Points
0
N

Nzagamba Yapi

Senior Member
Joined Sep 1, 2011
167 5 0
Lakini sishangai asilimia kubwa ya wazungu ni kizazi cha malaika waovu waliowaingilia wanadamu kwa mjibu wa biblia,sasa hapo usishangae mashetani hao

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
8,389
Likes
147
Points
160
cacico

cacico

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
8,389 147 160
anasubiri mmalize kabisa makorokocho yenu ndipo aje kuwahukumu
mzima wewe?? kweli mi makorokocho, kwi kwi kwi kwi! kweli mifupa?? hii ni kali kuliko, HAKUNAGA DUNIANI, lol
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,970
Likes
1,939
Points
280
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,970 1,939 280
alikuwa anajisokonyola kwenye mifupa. Kitu dildo ngumu

inawezekana kweli??

Sasa haumizwi na friction?

Kweli itakua anapata utam au namna gani??

Nijuavyo mimi dushelele ina ulain lain flani ivi

kweli dunia ina mambo kaka
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,764
Likes
183
Points
160
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,764 183 160
Habari nilizo nazo huyo mama ni mkatoliki, nikati yawaleee waojiita masista ete awa sex, kwahiyo bmkubwa uzarendo uka mshinda ikambidi aibe maiti na kuamua kujipoza mizuka kinyemela mpaka pele jirani alipo usoma mchezo na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria.
 
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Likes
0
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0 0
Hizo taarifa umezipata wapi kuwa ni mkatoliki na ni sisita, wakati muhusika mwenyewe amesema alitaka kuweka record ya kuwa mwanamke wa kwanza kufanya mapenzi na maiti
Habari nilizo nazo huyo mama ni mkatoliki, nikati yawaleee waojiita masista ete awa sex, kwahiyo bmkubwa uzarendo uka mshinda ikambidi aibe maiti na kuamua kujipoza mizuka kinyemela mpaka pele jirani alipo usoma mchezo na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria.
 
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Likes
0
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0 0
Hapo bi mkubwa ametaka kutafuta umaarufu pia mweneyewe anasema akiona tu maiti pepo wa ngono humpanda, kwa nini hampandi akiona tu wanaume
kumbe mmama,mapenzi gani hayo bila dushelele?
 
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Messages
216
Likes
0
Points
0
M

msemakwelii

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2011
216 0 0
Nadhani Mzee wa Upako ndio atayaweza mapepo ya huyo Mama
Mapepo tu huyo, aje kwa kakobe akaombewe,lol.
Afadhali nanihii sio mfupa, watu wangekata wakaweka ndani.
 

Forum statistics

Threads 1,236,777
Members 475,220
Posts 29,268,100