45 Minutes on ITV:Technicalities

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Moods,
Tafadhali hii ni stand alone thread, naomba msii i link popote unless mni PM Kwanza
Nimekuwa najiuliza hivi hiki Kipindi cha 45 Minutes cha ITV ni kwa ajili ya Wanachama Viongozi kutoka CCM tuu.
Hebu nitoeni Gizani jaman
 
Yes, mtangazaji alishaonywa na usalama wa taifa na ni mtu wa iujipendekeza kuliko wote ITV hivyo ni ccm tu
 
Hata watumie vituo vyote vya TV, redio na hata magazeti yote haitawasaidia, kwani ccm mwisho wao upo karibu sana.
 
Back
Top Bottom