Picha & video: Campus mpya ya chuo kikuu cha afya na sayansi Mloganzila, Kisarawe

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
MONDAY, NOVEMBER 26, 2012Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam.

Hii ni sehemu ya Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili
(MUHAS) inayojengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini.

Kwa mujibu wa Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof. Ephata Kaaya, Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Kwa maneno mengine Kampasi ya Muhimbili ya Mloganzila inategemewa kuanza kazi mwanzoni mwa mwaka 2015.

Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600).

Sambamba na kampasi ya MUHAS ya Mloganzila pia ujenzi wa Kampasi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeshaanza na kufikia hatua ya juu na ambapo pia hospitali hiyo inatarajiwa kuanza shughuli zake rasmi mwaka 2015.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (National Health Insurance Fund) NHIF Bw. Emmanuel Humba mchakato wa kufanikisha uanzishaji wa Chuo Hospitali hiyo vimeshaanza ambapo baadhi ya wataalamu wakiwemo Madaktari na watumishi wengine wako nchini na nje ya nchi kwa ajili ya masomo na mafunzo mbalimbali.

Chuo hicho kinatarajia kuwa na vifaa vya kisasa vya tiba vinavyokidhi mahitaji ya Afya na Elimu ya Udaktari wa kiwango cha Kimataifa, ikiwa ni mikakati kabambe ya serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi ina wataalamu wengi na huduma za kisasa za afya ili kuondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

Kwa sasa MUHAS inachukua takriban wanafunzi 2442 wa udaktari na huduma za afya kwa mwaka. Hivyo ujio wa kampasi ya Afya Mloganzila na Kampasi ya afya ya UDOM utaharakisha mpango wa serikali wa kupunguza wastani wa wagonjwa kwa daktari mmoja kwa kiwango kikubwa. Hivi sasa wastani ni daktari mmoja anahudumia wagonjwa 30,000.

MONDAY, NOVEMBER 26, 2012
 
Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Messages
1,678
Points
1,195

Tango73

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2008
1,678 1,195
haya ndiyo maendeleo tuliyopigania uhuru na tuliyoyaotea ndoto. Kama .............. angekuwa leo madarakani. hiyo kampus angeweka jengo la kusomeshea wanasiasa tuu na wala sio kutotoa wataalamu. wewe ona pale kimwaga dodoma alivyopania kujenga chuo kikuu cha siasa kikubwa kupita vyote africa! Hongera mtoto wa jakaya, tunaona jinsi pesa zetu za kodi zinavyotumika kutuletea nafuu ya maisha. miaka ya zamani pesa zetu za kodi zilikuwa zinatumika kujenga chama na sio maisha bora kwa kila mtu!!!!!!!
 
King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,720
Points
2,000

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,720 2,000
Bora ajenge tutaenda kusomea huko huko kisarawe kuliko kuchumia tumboni kwao. Jenga tuone bwana! Mbona ukiwa mbeya unaenda ulaya shurti kuenda kupandia ndege dsm.

Huduma ya afya imezorota sana. Hongera nkwere.
 
nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
haya ndiyo maendeleo tuliyopigania uhuru na tuliyoyaotea ndoto. Kama .............. angekuwa leo madarakani. hiyo kampus angeweka jengo la kusomeshea wanasiasa tuu na wala sio kutotoa wataalamu. wewe ona pale kimwaga dodoma alivyopania kujenga chuo kikuu cha siasa kikubwa kupita vyote africa! Hongera mtoto wa jakaya, tunaona jinsi pesa zetu za kodi zinavyotumika kutuletea nafuu ya maisha. miaka ya zamani pesa zetu za kodi zilikuwa zinatumika kujenga chama na sio maisha bora kwa kila mtu!!!!!!!

TATIZO ni HIYO MIKOPO; VITUKUU na VILEMBWE wataachiwa hayo MADENI na labda hiyo GAS sio yetu tena...

HIYO MIKIPO YA KICHINA inaiuza nchi yetu TARATIBU; ETI Uwanja Wa TAIFA MEchi ikichezwa WACHINA PIA wanakatiwa KIPANDE CHAO...

HIYO MIKOPO ndio yameiua nchi inaitwa GREECE na nyingine zinafuatilia
 
Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
33,345
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
33,345 2,000

TATIZO ni HIYO MIKOPO; VITUKUU na VILEMBWE wataachiwa hayo MADENI na labda hiyo GAS sio yetu tena...

HIYO MIKIPO YA KICHINA inaiuza nchi yetu TARATIBU; ETI Uwanja Wa TAIFA MEchi ikichezwa WACHINA PIA wanakatiwa KIPANDE CHAO...

HIYO MIKOPO ndio yameiua nchi inaitwa GREECE na nyingine zinafuatilia
Hakuna nchi isiyo na mikopo..hata superpower wetu america wanadaiwa karibu dola tilioni 16.itakua bongo.
Kwanza wachina na sisi dugu moya wanawaza hata kuyasamehe.
Sasa unataka wachina watujengee uwanja halafu wao wasiwe wanapata asilimia fulani ajili ya pesa walizoinvest hapo?
Kama hawangejenga hata hicho tusingeweza kukijenga sisi wenyewe.
Kumbuka hata TAZARA,walijenga wao tena kwa mashariti nafuu baada ya nchi za magharibu kukataa kuijenga.
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225

Kama swala ni madeni hakuna Raisi aliyeisababishia nchi yetu madeni kama Bw. Nyerere, hata ukichukua hao maraisi watatu hakuna anayemfikia Bw. Nyerere kwa madeni, na huo mfumo wa kufadhilii miradi kwa mikopo na madeni aliuanzisha Bw. Nyerere kwa ndio mfumo wa nchi yetu, ulivyo!

Hayo MASHARTI NAFUU ya TAZARA yako WAPI? Unajua BADO tuna DENI la TAZARA ni MILLIONS of $$; NDIO MAANA WACHINA wa TAZARA WAPO

Kama Haujui KINGINE TEMBELEA UWANJA WA TAIFA MPYA; PESA zilikuwa MKOPO na MSAADA toka CHINA; Wachina Bado WAPO Uwanja wa Taifa na SERIKALI inalipa...

Unajua ni AJIRA ngapi hizo zingekuwa za WATANZANIA??? Wafaransa walijena Uwanja wa NDEGE wa DARl Nyerere hakutaka MKOPO na SERIKALI ililipa... UMEONA WAFARANSA AIRPORT wakisafisha VIOO kama UWANJA wa TAIFA???
 
nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
Kama swala ni madeni hakuna Raisi aliyeisababishia nchi yetu madeni kama Bw. Nyerere, hata ukichukua hao maraisi watatu hakuna anayemfikia Bw. Nyerere kwa madeni, na huo mfumo wa kufadhilii miradi kwa mikopo na madeni aliuanzisha Bw. Nyerere kwa ndio mfumo wa nchi yetu, ulivyo!
DENI MOJA TU TAZARA; NYERERE alikuwa anapingana na IMF na WORLD BANK ndio Sababu aliachia NGAZI na kumpa MWINYI

Nyerere alijua NCHI YETU INA MADINI Mengi lakini alitaka Watanzania WASOME nio sababu ya KUANZISHWA GEOLOGY DEPARTMENT chuo kikuu...

Nyerere alishikwa wakati wa VITA vya KAGERA NCHI ILIKUWA ina PESA za KIGENI NYINGI na GOLD RESERVES... NDIO MAANA halikuwa hatishiki... Wakati wa VITA ndio NCHI za MAGHARIBI wakawa Wanamuuzia silaha kwa BEI YA KURUSHWA

Lakini ALINUNUA NDEGE MBILI BOEING KILIMANJARO na SERENGETI CASH; hazikuwa zinavunjika VIOO; KUPASUKA MATAIRI; KUGOTAGOTA au MOSHI kwenye CABIN
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225

DENI MOJA TU TAZARA; NYERERE alikuwa anapingana na IMF na WORLD BANK ndio Sababu aliachia NGAZI na kumpa MWINYI

Nyerere alijua NCHI YETU INA MADINI Mengi lakini alitaka Watanzania WASOME nio sababu ya KUANZISHWA GEOLOGY DEPARTMENT chuo kikuu...

Nyerere alishikwa wakati wa VITA vya KAGERA NCHI ILIKUWA ina PESA za KIGENI NYINGI na GOLD RESERVES... NDIO MAANA halikuwa hatishiki... Wakati wa VITA ndio NCHI za MAGHARIBI wakawa Wanamuuzia silaha kwa BEI YA KURUSHWA

Lakini ALINUNUA NDEGE MBILI BOEING KILIMANJARO na SERENGETI CASH; hazikuwa zinavunjika VIOO; KUPASUKA MATAIRI; KUGOTAGOTA au MOSHI kwenye CABIN
Wewe acha uongo, hakuna anayepinga mafaniko ya Bw.Nyerere, ila kwenye madeni wala usimtetee, Bw. nyerere ndie aliyeanzisha sera ya utegemezi wa misaada ya wazungu nchini kwetu, siku zote alikuwa anaamini kwamba wazungu walikuwa na jukumu la kutusaidia na hata shuleni tulikuwa tunafundishwa, kwamba wazungu wametutawala hivyo wanajukumu la kutusaidia, na hata katika Hotuba zake nyingi alikuwa analirudia hilo mara kwa mara, tena alikuwa mpaka anadiriki kusema hawa wazungu wana mahela mengi hawayahitaji, hata Bw. JK kuwaita "wazungu hawa wakubwa" huo msemo ameutoa kwa Bw.Nyerere!

Kila kitu kinachotokea au kuendelea Tanzania, ni matokeo ya sera za Bw. Nyerere, sana sana mambo ya kuomba misaada na ndio maana Nchini kwetu hakuna Wizara muhimu kama ya Mambo ya Nje, na anayeongoza Mambo Nje ndie huushia kuwa Raisi, maana yake ni kwamba katika kipindi atakacho kuwa Waziri ajifunze na ajitahidi akubalike na Wazungu au Wahisani na hii yote aliiasisi Bw. Nyerere, akina Bw. Kikwete wanatekeleza tu na kufwata sera za CCM ambazo ziliasisiwa na Bw. Nyerere mwenyewe na wenzake!

Hivi unajua kwa nini mpaka leo nchi yetu ndio moja ya nchi inayoongoza kwa kusaidiwa Duniani? unafikiri ni sera za Bw. Kikwete hizo? hizo sera za CCM chini ya Bw. Nyerere ambaye aliamini kabisa kama nilisema hapo juu kwamba ni jukumu lao Wazungu kutusaidia na lazima watusaidie!

Hivyo kwenye hilo usitake kupotosha, Bw.Nyerere ana mazuri yake mengi tu, ila mabaya nayo lazima tuyajadili ili tuweze kwenda mbele, hata yeye mwenyewe alilijua hilo baada ya kutoka na alikiri wazi kabisa!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225

Hakuna TATIZO AJENGE CHOCHOTE atakacho kama RAIS asiyoangalia MBALI... HIVYO VYOTE anavyojenga ni KWA MKOPO wa CHINA... Tutaweza kuwalipa kweli kama HADI LEO TAZARA DENI LIPO???

ANAJENGA haangalii ni nani hao watakaopata SHIDA kulipa hayo MADENI ni Watoto Wetu VIJUKUU VYETU na VITUKUU VYetu Ina MAANA tunaiuza nchi wakati TUNA MADINI na MALIGHAFI... Kwanini RWANDA haifanyi HIVYO??

USISHEHEREKEE VIPYA lakini SIO VYAKO NENDA LUANDA ANGOLA utalia... Wachina Wamechukua Ajira ZOTE KAMA KUKATA MAJANI; KUSAFISHA BARABARA...

Unakumbuka Waziri aliyetaka kuwanyima WACHINA VISA ya KIBIASHARA? ni NANI aliena UBALOZI wa CHINA kuomba MSAMAHA...??? RAIS WETU... Wachina Wanaendelea kuzidi KARIAKOO...
Labda nikuulize kwa maana umekazania sana kuhusu kujengwa na Wachina, kwani masharti ya huo mkopo yakoje? na usiniambie hujui kwa maana umeiongelea sana tena kwa hisia, hivyo ni lazima utakuwa unauelewa huu mradi vizuri sana, hebu tuambie utatugharimu vipi na kiasi gani?

Umetolea mfano Rwanda, hebu tuambie deni la Rwanda nia asilimia ngapi ya pato la nchi hiyo, ili tujue kama wao wanafanya vizuri au la, na wanafadhilije miradi yao!

Halafu unamlaumu Bw. kikwete au unalaumu sera za CCM? hayo anayoyafanya Bw. Kikwete ni muendelezo tu wa sera za CCM tangu mwanzo zilizoanzishwa na Bw. Nyerere na wenzake za kutegemea misaada ya wahisani, nafikiri mpaka leo ulipaswa kujua kwamba uraisi Tanzania sio mtu ni Taasisi, na kuna mambo ambayo Bw. kikwete hawezi kwenda nayo tofauti, vinginevyo hafiki mbali, waulize akina Bw. Malecela!

HLS

Member
Joined
Nov 15, 2012
Messages
57
Points
0

HLS

Member
Joined Nov 15, 2012
57 0
Tunakokwenda ni mbali na tunayotaka ni mengi na njia za kupita ni ngumu, Tukifika tutakuwa na majeraha ya kutosha.
 
nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
Wewe acha uongo, hakuna anayepinga mafaniko ya Bw.Nyerere, ila kwenye madeni wala usimtetee, Bw. nyerere ndie aliyeanzisha sera ya utegemezi wa misaada ya wazungu nchini kwetu, siku zote alikuwa anaamini kwamba wazungu walikuwa na jukumu la kutusaidia na hata shuleni tulikuwa tunafundishwa, kwamba wazungu wametutawala hivyo wanajukumu la kutusaidia, na hata katika Hotuba zake nyingi alikuwa analirudia hilo mara kwa mara, tena alikuwa mpaka anadiriki kusema hawa wazungu wana mahela mengi hawayahitaji, hata Bw. JK kuwaita "wazungu hawa wakubwa" huo msemo ameutoa kwa Bw.Nyerere!

Kila kitu kinachotokea au kuendelea Tanzania, ni matokeo ya sera za Bw. Nyerere, sana sana mambo ya kuomba misaada na ndio maana Nchini kwetu hakuna Wizara muhimu kama ya Mambo ya Nje, na anayeongoza Mambo Nje ndie huushia kuwa Raisi, maana yake ni kwamba katika kipindi atakacho kuwa Waziri ajifunze na ajitahidi akubalike na Wazungu au Wahisani na hii yote aliiasisi Bw. Nyerere, akina Bw. Kikwete wanatekeleza tu na kufwata sera za CCM ambazo ziliasisiwa na Bw. Nyerere mwenyewe na wenzake!

Hivi unajua kwa nini mpaka leo nchi yetu ndio moja ya nchi inayoongoza kwa kusaidiwa Duniani? unafikiri ni sera za Bw. Kikwete hizo? hizo sera za CCM chini ya Bw. Nyerere ambaye aliamini kabisa kama nilisema hapo juu kwamba ni jukumu lao Wazungu kutusaidia na lazima watusaidie!

Hivyo kwenye hilo usitake kupotosha, Bw.Nyerere ana mazuri yake mengi tu, ila mabaya nayo lazima tuyajadili ili tuweze kwenda mbele, hata yeye mwenyewe alilijua hilo baada ya kutoka na alikiri wazi kabisa!

Haujasema kingine CHOCHOTE Nyerere alituachia MADENI...
Alianza Urafiki na Scandnavian Nations Nchi hizo zilikuja hadi VIJIJINI kuweka MAJI hiyo ILIKUWA MISAADA haswa; HADI PALE IMF na WORLD BANK alipoingilia hiyo MIKATABA sababu ya NYERERE kugoma kukopa IMF...

Na Unajua kwanini EDWIN MTEI alijiuzulu Uwaziri wa FEDHA ni hivyo alikubaliana na kipengele kimoja cha IMF Nyerere hakufurahi MTEI akajiuzulu na kama Tungechukua huo MKOPO wakati ULE tusinge kuwa na ISSUE ya UHUJUMU

Alijua kuwa tulichonacho tutaweza kutulisha -- na alijua tuna MADINI na MAFUTA hakutaka kutumia na kuleta WAZUNGU kama Walivyojaa NCHINI... MIKATABA kama ya kuokota KOKOTO...

Yeah, Kama ni SERA za CCM sawa lakini wakati ule hakutaka kuuza GENERATION yooote ya WATANZANIA kwa MIKOPO
na Haujui INTEREST za MIKOPO... utasikia hadi karanga ni MALI ya MCHINA...

Na wakati HUO HUO AFYA BUREEE; ELIMU BUREEE sasa hivi ahhh lazima Upeleke Mwanao NJE shule za BONGO atafika Darasa la SABA hajui kuandika...
 
Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2008
Messages
2,190
Points
1,225

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2008
2,190 1,225
Michoro ya kampasi mpya ya Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ya Mloganzila - YouTube

Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam.

Kuna mapungufu mengi sana na
huu uamuzi kama ni wa kweli;
  1. Je, ni nani aliyepitisha huu uamuzi wa kuijengea hospitali huko porini, wataalam au wanasisa?
  2. Je ulifikiwa kwa vigezo gani? Kwani kigezo kimojawapo na kikubwa ni kwa hospitali kuwepo mahali kwenye mkusanyiko wa watu (catchment area) na iwe inafikika kwa haraka (umbali na watu/wagonjwa usiwe mrefu). Je hii inawalenga watu wa maeneo gani ili mtu asije akafia njiani akielekea hospitali iliyo mbali na makazi?
  3. Je hospitali/chuo cha madaktari 15,000 hakitapata shida ya kupata wagonjwa wanaohitajika kwa kuwafundishia hao wanafunzi kutokana na kuwa nje ya jiji?
  4. Kwa vile hii hospitali inajengwa kwa kodi za wananchi (maana hata kama ni mkopo lazima utalipwa), je wananchi au wawakilishi wa wananchi (wabunge, madiwani, meya n.k.) wameshirikishwaje kwenye uamuzi au wanataarifiwa tu?
  5. Kama kweli hicho chuo kinalenga kuwa na wanafunzi 15,000, idadi ambayo ni kubwa sana kwa chuo chochote, je mikakati gani imefanyika kupata hao wanafunzi na watahudumiwaje huko "kijijini" au ndio tunajenga tena a white elephant kama BOT?
  6. Hivi ni kweli tuna uhaba wa ardhi kwa kiasi gani mpaka kushindwa kujenga kagorofa kamoja na parking lots zake karibu na makazi ya watu kama tuliyoonyeshwa ndiyo plani yenyewe?
  7. Kwa nini tuweke hospitali yenye zaidi ya madaktari 15,000 Kisarawe na sio Lugalo, Kawe Tanganyika Packers, Mwenge Mlimani UDSM Area, Mbagala JKT, Kiwanda cha UFI n.k wanakoishi maelfu ya waTanzania?
​CHADEMA, CUF, NCCR, na wapiga debe wengine wako wapi kulinda rasilimali chache za taifa ili zitumike vema kwa ajili ya wengi? Au wanajitokeza tu kunapokuwa na kelele za akina Shehe Ponda? 

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,870
Points
1,225

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,870 1,225
Labda nikuulize kwa maana umekazania sana kuhusu kujengwa na Wachina, kwani masharti ya huo mkopo yakoje? na usiniambie hujui kwa maana umeiongelea sana tena kwa hisia, hivyo ni lazima utakuwa unauelewa huu mradi vizuri sana, hebu tuambie utatugharimu vipi na kiasi gani?Umetolea mfano Rwanda, hebu tuambie deni la Rwanda nia asilimia ngapi ya pato la nchi hiyo, ili tujue kama wao wanafanya vizuri au la, na wanafadhilije miradi yao!

Halafu unamlaumu Bw. kikwete au unalaumu sera za CCM? hayo anayoyafanya Bw. Kikwete ni muendelezo tu wa sera za CCM tangu mwanzo zilizoanzishwa na Bw. Nyerere na wenzake za kutegemea misaada ya wahisani, nafikiri mpaka leo ulipaswa kujua kwamba uraisi Tanzania sio mtu ni Taasisi, na kuna mambo ambayo Bw. kikwete hawezi kwenda nayo tofauti, vinginevyo hafiki mbali, waulize akina Bw. Malecela!Madeni toka MATAIFA MBALIMBALI yana kwenda na UCHUMI wa NCHI yako na kama prospects zako za kukopa ni DEAM wanaangalia your foreign currency reserves your GOLD RESERVES na EXPORT zenu kama ni DEAM kama ilivyosasa GREECE hawakukopi; Na GREECE ni MEMBER wa EUROPEAN UNION... haiwezi ikasema WACHINA NIKOPENI... kuna MASHARTI yao

Sasa SISI tuna kila kitu cha kutuwezesha kukopa WORLD BANK na IMF na tunaweza kuyalipa MADENI... Kama MWINYI ilibii akope ndio Maana Nyerere aliachina NGAZI tulifanya structural adjacements na hela ZILIPATIKANA na kulipwa... MKAPA alikuwa na yake lakini yeye ALIKUWA na MIZIGO MEZANI kwenye kujadiliana na WORLD BANK na IMF == MKAPA alikuwa na MADINI na ya kuringia MOJA DHAHABU na wakati huo NCHI NYINGI zilitaka GOLD RESERVES than DOLLARS kwenye RESERVES zao...

Sasa Unaona wakati tunakopa huko tunapewa sababu hadi sisi wananchi tunasikia UCHUNGU wake... MIKOPO ya KICHINA unasikia CHOCHOTE zaidi ya Rais KIKWETE kusema OH WOW Nyerere alijenga Daraja MOJA... MIMI Najenga 3 siamini MACHO yangu... LOL

Ni kosa NYERERE Daraja alilojenga ni la UMOJA wa Watanzania wooot
KIkwete Madaraja aliyoyajenga ni MATATU UKABILA; UDINI na UBAGUZIAngalia CHINI NCHI zinazodaiwa zaidi IMF HATUPO tunaaminika na MALI ZETU MADINI ARDHI na UTALII usisahau USALAMA wa NCHI...IMF loans: which country owes the most?

Data summary

Sub TypeMemberDate of ArrangementExpirationTotal Amount Agreed (Thousands of $)Undrawn Balance (Thousands of $)
Data Source: IMF

Stand-By Arrangements (SBA)AngolaNovember 23, 2009February 22, 2012539806107961
Stand-By Arrangements (SBA)Antigua and BarbudaJune 07, 2010June 06, 20135090733938
Stand-By Arrangements (SBA)Bosnia and HerzegovinaJuly 08, 2009June 30, 2012637661425107
Stand-By Arrangements (SBA)Dominican RepublicNovember 09, 2009March 08, 2012687877343938
Stand-By Arrangements (SBA)El SalvadorMarch 17, 2010March 16, 2013322978322978
Stand-By Arrangements (SBA)GeorgiaSeptember 15, 2008June 14, 2011469541106842
Stand-By Arrangements (SBA)GreeceMay 09, 2010May 08, 2013166126818608422
Stand-By Arrangements (SBA)HondurasOctober 01, 2010March 31, 20124069440694
Stand-By Arrangements (SBA)IcelandNovember 19, 2008August 31, 2011879879263964
Stand-By Arrangements (SBA)IraqFebruary 24, 2010July 23, 20121493783821581
Stand-By Arrangements (SBA)JamaicaFebruary 04, 2010May 03, 2012515672175159
Stand-By Arrangements (SBA)KosovoJuly 21, 2010January 20, 20125823346443
Stand-By Arrangements (SBA)Latvia, Republic ofDecember 23, 2008December 22, 2011956319338996
Stand-By Arrangements (SBA)MaldivesDecember 04, 2009December 03, 20123092125768
Stand-By Arrangements (SBA)PakistanNovember 24, 2008September 30, 201145476551445431
Stand-By Arrangements (SBA)RomaniaMarch 31, 2011March 30, 201319423961942396
Stand-By Arrangements (SBA)Sri LankaJuly 24, 2009May 23, 20121039263346421
Stand-By Arrangements (SBA)UkraineJuly 28, 2010December 27, 201262848504870759
Extended Arrangements (EFF)Armenia, Republic ofJune 28, 2010June 27, 20138384061843
Extended Arrangements (EFF)IrelandDecember 16, 2010December 15, 2013122339639083729
Extended Arrangements (EFF)Moldova, Republic ofJanuary 29, 2010January 28, 201311614484720
Extended Arrangements (EFF)SeychellesDecember 23, 2009December 22, 2012124446637
Flexible Credit Line (FCL)ColombiaMay 07, 2010May 06, 201114593421459342
Flexible Credit Line (FCL)MexicoJanuary 10, 2011January 09, 20132972231329722313
Flexible Credit Line (FCL)Poland, Republic ofJanuary 21, 2011January 20, 20131204554412045544
Precautionary Credit Line (PCL)Macedonia, former Yugoslav Republic ofJanuary 19, 2011January 18, 2013259816136004
Extended Credit Facility (ECF) 1/Armenia, Republic ofJune 28, 2010June 27, 20138384060335
Extended Credit Facility (ECF) 1/BeninJune 14, 2010September 13, 20134668433341
Extended Credit Facility (ECF) 1/Burkina FasoJune 14, 2010June 13, 20132900720269
Extended Credit Facility (ECF) 1/BurundiJuly 07, 2008August 31, 2011290364148
Extended Credit Facility (ECF) 1/ComorosSeptember 21, 2009September 20, 201285303915
Extended Credit Facility (ECF) 1/Congo, Democratic Republic ofDecember 11, 2009December 10, 2012217739124422
Extended Credit Facility (ECF) 1/Congo, Republic ofDecember 08, 2008December 07, 201153171519
Extended Credit Facility (ECF) 1/Cote d'IvoireMarch 27, 2009March 26, 201223504189929
Extended Credit Facility (ECF) 1/DjiboutiSeptember 17, 2008June 16, 201279942783
Extended Credit Facility (ECF) 1/GhanaJuly 15, 2009July 14, 2012243507149768
Extended Credit Facility (ECF) 1/GrenadaApril 18, 2010April 17, 201355153928
Extended Credit Facility (ECF) 1/Guinea-BissauMay 07, 2010May 06, 2013140567586
Extended Credit Facility (ECF) 1/HaitiJuly 21, 2010July 20, 20132573620589
Extended Credit Facility (ECF) 1/KenyaJanuary 31, 2011January 30, 2014204685163748
Extended Credit Facility (ECF) 1/LesothoJune 02, 2010June 01, 20132632117849
Extended Credit Facility (ECF) 1/LiberiaMarch 14, 2008June 29, 20111502202790
Extended Credit Facility (ECF) 1/MalawiFebruary 19, 2010February 18, 20133271323989
Extended Credit Facility (ECF) 1/MaliMay 28, 2008December 31, 2011175911257
Extended Credit Facility (ECF) 1/MauritaniaMarch 15, 2010March 14, 20134856934692
Extended Credit Facility (ECF) 1/Moldova, Republic ofJanuary 29, 2010January 28, 201311614440726
Extended Credit Facility (ECF) 1/NicaraguaOctober 05, 2007December 04, 2011490223488
Extended Credit Facility (ECF) 1/NigerJune 02, 2008June 01, 2011144746203
Extended Credit Facility (ECF) 1/Sao Tome & PrincipeMarch 02, 2009March 01, 201216281163
Extended Credit Facility (ECF) 1/Sierra LeoneJuly 01, 2010June 30, 20131955213971
Extended Credit Facility (ECF) 1/Tajikistan, Republic ofApril 21, 2009April 20, 20126561424596
Extended Credit Facility (ECF) 1/TogoApril 21, 2008August 31, 2011599645531
Extended Credit Facility (ECF) 1/Yemen, Republic ofJuly 30, 2010July 29, 2013153036131171
Extended Credit Facility (ECF) 1/ZambiaJune 04, 2008June 03, 201113832611561
Exogenous Shock Facility (ESF)MaldivesDecember 04, 2009December 03, 201151543865
Standby Credit Facility (SCF)HondurasOctober 01, 2010March 31, 20124069440694
Standby Credit Facility (SCF)Solomon IslandsJune 02, 2010December 01, 201178433922
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225

Madeni toka MATAIFA MBALIMBALI yana kwenda na UCHUMI wa NCHI yako na kama prospects zako za kukopa ni DEAM wanaangalia your foreign currency reserves your GOLD RESERVES na EXPORT zenu kama ni DEAM kama ilivyosasa GREECE hawakukopi; Na GREECE ni MEMBER wa EUROPEAN UNION... haiwezi ikasema WACHINA NIKOPENI... kuna MASHARTI yao

Tena unaendelea kudanganya, kusema uongo na kupotosha, sisi hatupo katika hiyo orodha ya wadaiwa wakubwa/sugu wa IMF, benki ya Dunia au wahisani wengine kwa sababu tulisamehewa madeni yetu yote na Paris Club (HIPC) wakati wa Bw.Mkapa, na sababu kubwa za kusamehewa ni kwamba tulikuwa na madeni makubwa sana ambayo tulishindwa kulipa na sehemu kubwa yalikuwa toka kwa utawala wa ya Bw. Nyerere na watu wake, Bw.Mkapa alitimiza kwanza baadhi ya masharti yaliyowekwa na waliokuwa wanatudai ikiwa ni pamoja na kufungua milango ya uwekezaji kwa makampuni yao na kuuza viwanda vyetu, kitu ambacho Bw. Mkapa alikikubali, sasa sijui ni kwa sababu alikuwa hana jinsi au vipi sijui, jibu analijua yeye mwenyewe, ila matokeo yake ndio hayo Mrabaha wa 3% kutoka kwenye rasilimali zetu!

Hivyo hatupo humo sio kwa sababu nyingine yoyote ya ufanisi bali tulisamehewa! na usisahau Bw.Nyerere alikuwa anakopa halafu anazunguka Dunia nzima kuwaambia wazungu kwamba watusamehe kwa maana hizo pesa hawazihitaji, sasa sijui nai asiyehitaji pesa!
 
Forum statistics

Threads 1,390,140
Members 528,096
Posts 34,043,595
Top