Wakubali wakatae ni black obama ni kiboko ya wathungu.
Sijui kama ni maskio yangu lakini badala ya Baraka naskia BLACK nami naamini wanamwita hivyo makusudi.
Au wenzangu mnasemaje?
Ha haa haaa!. Wewe ni kama wale wanaosifia vya wengine kwa kusema 'kwetu kuna nyumba nyingi za ghorofa'! lakini nyumba yako ni ya "mbavu za mbwa" OBAMA siyo MWAFRIKA, ni "African-American." Unataka msaada wa nini? Usaidiwe kwa juhudi zipi ulizofanya? .......... "It is very expensive to be poor. JITEGEMEE"......mwl JK NyerereHata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!
Ha haa haaa!. Wewe ni kama wale wanaosifia vya wengine kwa kusema 'kwetu kuna nyumba nyingi za ghorofa'! lakini nyumba yako ni ya "mbavu za mbwa" OBAMA siyo MWAFRIKA, ni "African-American." Unataka msaada wa nini? Usaidiwe kwa juhudi zipi ulizofanya? .......... "It is very expensive to be poor. JITEGEMEE"......mwl JK Nyerere
Hata akishindwa uchaguzi itakuwa poa Tangu awe rais wa Marekani amesaidia nini Africa? na watu weusi? Takwimu zinaonyesha zaidi ya nusu ya wafungwa nchi marekani ni watu weusi, ziadi ya nusu ya weusi hawana ajira na wanabaguliwa sana kwenye ajira chini ya Obama takwimu hizi zimeongezeka!Kenya hapo jirani na kwa baba yake amesaidia nini?ni mweusi kwa rangi ila tabia za kizungu!
Ni kiboko ya wazungu anayetetea sera zinazokandamiza maskini wa nchi yake wakiwemo black americans wengi zaidi kuliko wazungu.
Usiwe mpumbavu wewe! bajeti yetu inajitegemea kwa asilimia ngapi? kama sio kusaidiwa mmngeweza kulipa hata mishahara?? Mareekani chini ya Obama nilitarajia watoe fursa kwa mfano wa masomo kwa waafrica, fursa ya bidhaa zetu hasa za kilimo kuuzwa mareekani na kuja na uwekezaji mkubwa kama viwanda na teknolojia mbalimbali ili kutoa ajira kwa watu wetu, Marekani ni super power hivo wao kutusaidia kivyovyote sio kosa!!
Sijui kama ni maskio yangu lakini badala ya Baraka naskia BLACK nami naamini wanamwita hivyo makusudi.
Au wenzangu mnasemaje?
NOT TRUE.....
Ur confusing & mixing urself...... in place of R u put L & viceversa.....
NO ONE IS CALLING HIM THAT WAY..... UNAUMWA LABDA ... kapime upesi....
Ni Obama tu husikii vizuri au kuna vitu vingine..?? Kapime Nose, Ear & Throat...
Wazungu wana pronounce jina lake kama Buh'rack na kwa masikio ya haraka haraka unaweza kudhania umesikia black.
Ha haa haaa!. Wewe ni kama wale wanaosifia vya wengine kwa kusema 'kwetu kuna nyumba nyingi za ghorofa'! lakini nyumba yako ni ya "mbavu za mbwa" OBAMA siyo MWAFRIKA, ni "African-American." Unataka msaada wa nini? Usaidiwe kwa juhudi zipi ulizofanya? .......... "It is very expensive to be poor. JITEGEMEE"......mwl JK Nyerere
Kwani nani kakwambia yule ni rais wa Africa hadi awatumikie waafrika?.,yeye anatumikia waliomchagua mkuu.,hebu tuachane na haya mawazo ya kimasikini,tuamke tufanye kazi na tuache kuombaomba.