Kuingiza ndugu kwenye ajira za POLIS hii nayo si rushwa na utapeli wa haki za watanzania

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
nimemsikia msemaji wa Polis ambae nimelishika jina la kwanza ADVERA (ITV habari za saa saa 9.00adhuhuri)akisema polisi imeanzisha mtandao wa kuwashika natapeli wanaochukua pesa za watu kwa ahadi ya kuwapa ajira polisi sasa wasiwasi wangu ni kwamba kuna kundi kubwa la polis wanaoingia kazi hii ya polis kwa migongo ya ndugu zao waliopo ndani ya polis je hii nayo si sawa na rushwa je watanzania wasio na ndugu huko ajira hii wataipata
 
Mzee umesahau mambo ya Godfather katika tz. Watu wengi waliokatika ajira tanzania kuanzia mika ya 90, asilimia kubwa wamepata ajira kwa kutumia Godfarther au kwa kuonga.
 
Back
Top Bottom