Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi, Tigo imeshikilia usukani wa biashara inayoongoza kwa kero kwa wateja baada ya kuibuka kuwa mshindi miongoni mwa biashara 31 zenye kero kwa wateja nchini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baraa hili la umeme ni janga lisilo epukika kwa hali sasa jinsi ilivyo, kwenye gazeti la Mwana Halisi ukurasa wa pili linasema "Nchi kuingia gizani"!!!!!!! Bila shaka mpenzi msomaji hapa unaishi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Structure mpya ya Muhimbili eneo la Mloganzila. Bofya link:
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Hawa city fathers wamekuwa wanaleta usumbufu mara zote kunapokuwa na ugeni hapa jijini Arusha. Kero kubwa iliyonifanya niilete kero hii ni kuwa kila kunapokuwa na ugeni hapapitiki! Wamefunga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Timu ya Sun'land ya Wingereza katika jezi waliyovaa usiku wa jana ilikua na maandishi yasemayo "Invest in Africa" je maneno hayo kweli ni ya kuhamasisha uwekezaji barani kwetu au ni kuhamasisha...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Watawala wetu hutuambia kuwa "wakoloni weupe" walitumia njia hii ya kutugawa ili watutawale vizuri, kwa mfano utawala wa Kijerumani nchi yetu Tanganyika ilikuwa imegawanywa sehemu za kiutawala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..serikali inapaswa kuwa makini na hawa wawekezaji wa KICHINA. ..Wachina wa sasa hivi siyo wale waliojenga Tazara enzi za Mwenyekiti Mao na Waziri Mkuu Chou En Lai. ..pesa zao hazina masharti ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa madiwani niliowataja wote wapo kwenye eneo ambapo shule ya kata ya Ngarenaro ndiko ilipo.Ni zaidi ya wiki ya pili sasa ukuta wa hiyo shule umeanguka na kuharibu mandhari ya hiyo shule, uzio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nini maoni yako juu ya hali ilivyo ndani ya CCM? Tafakari yafuatayo: 1. Upo mmomonyoko mkubwa wa maadili; 2. Hakina waadilifu; 3. Imejaa rushwa; 4. Biashara mpya ya kura imeshamiri; 5...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Anti-Corruption Views - How bribery cripples justice in Tanzania courtsBy Kizito Makoye | Yesterday at 3:39 PM | Comments ( 0 ) This November 2007 file photo shows the dormant volcano of Mount...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila kukicha wenye nyumba wanaongeza kodi, wenye nyumba za bishara hawa ndio hatari zaidi, hali hii huwafanya wafanyabiashara wengi kuhama hama kila siku. Imefikia hata wenye nyumba kukuuzia ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya kweli iliyotokea siku chache zilizopita. Kuna dada mmoja anasoma chuo fulani Buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimepita hapo Buguruni this morning hali si shwari baada ya coaster kumgonga na kumuua mama mmoja hapohapo raia wamezingira kituo hebu mliopo huko now mtujuze kinachoendelea..
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HIZI ni picha 16 miongoni mwa picha nyingi zinazoonyesha jinsi mazishi ya John Stephano Maganga yalivyofanyika leo mchana kwenye makaburi ya Kinonndoni. Katika picha hizi utashuhudia matukio...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Dear Waziri wa Nishati, Nna uhakika kwamba wizara yako inajua kuhusu teknolojia ya uzalishaji wa gesi kwa kutumia takataka,kwani najua kuna viwanda vichache vinatumia teknolojia hii kujizalishia...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Wakuu wakati naenda kazini leo asubuhi nilichukua bodaboda kutoka kituo cha Mt. Meru hotel kwenda Clock-tower. Katika maongezi yetu na dereva bodaboda tukawa tunaongelea mapokezi ya katibu mkuu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
HATIMAYE MRADI WA MAJI WILAYANI GAIRO U MBIONI KUKAMILIKA: Pamoja na kuchelewa lakini hivi sasa mradi wa Maji ulionzishwa wilayani Gairo Uliodhaminwa na World Bank unakaribia kukamilika.Mbunge...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 27/11/2012 // Habari // 1 Comment Na Khamis Haji, OMKR MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameutaka uongozi wa Wizara ya Afya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukweli unauma sana, lakini ndo hivyo. Wakati wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere, wafanyakazi walikuwa na hesimika sana. Sababu moja ilikuwa ni kwamba hapakuwa na tofauti kubwa ya kipato kati ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…