Ukishinda Dola Million 550 Powerball Lottery ya Marekani Utafanya Nini?

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,000
Kwanza ntaenda kampuni ya Land Rover kuchukua kavogue

Then ntafungua viwanda vitatu Tanzania.

Ntajenga two apartment complexes

Kisha ntafungua television station.

Nitaajiri watu wengine kumanage my investments wakati mimi na manage my money

What would you do?

There goes my baby and my destine
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,025
2,000
1. Mitajenga hospitali kijijini kwetu na kufanya matibabu yawe bure au rahisi
2. Nitajenga shule ambazo kila mwanafunzi ataweza kuhudhuria
2. Nitaaanzisha miradi ya kutoa ajira kwa walionizunguka

Mantiki ni kuwa utajiri wangu hauna maana yeyote, kama ninaoishi nao ni maskini! Vitu ni vya msimu tu, inafika wakati vogue yako utaiona ya zamani na utaichoka, jumba lako la fahari utalala chumba kimoja tu, ila furaha ya kweli ni ile inayodumu nayo ni kusaidia binadamu wenzako.

 • Kuna wakati nilifikiria nikipata music system maisha yangu yatakuwa mazuri. Nikaweza kununua. Nikaizoea nikaona ya kawaida.
 • Nikasema nikinunua TV kubwa kabisa nitafurahi. Nikanunua, vipindi vyake vikaanza kuniboa.
 • Nikasema nikinunua gari (used) nitakuwa nimemaliza. Baada ya muda nikaliona limepitwa na wakati.
 • Nikaamua ninunue jipya kabisa, baada ya miaka mitatu nikalichoka
 • Nikajenga nyumba nzuri ya kuishi....bado nataka kujenga zingine...ila
 • ...nikasaidia watu wengi wakabadilishamaisha yao kuwa bora...NIMERIDHIKA NA MOYO WANGU U SAFI KABISA!
 
Bad Hombre

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,037
2,000
Kwanza ntaenda kampuni ya Land Rover kuchukua kavogue

Then ntafungua viwanda vitatu Tanzania.

Ntajengwa two apartment complexes

Kisha ntafungua television station.

Nitaajiri watu wengine kumanage my investments wakati mimi na manage my money

What would you do

"Viwanda vitatu" na "two apartment complexes", umeme na maji utatoa wapi?
 
Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,000
1. Mitajenga hospitali kijijini kwetu na kufanya matibabu yawe bure au rahisi
2. Nitajenga shule ambazo kila mwanafunzi ataweza kuhudhuria
2. Nitaaanzisha miradi ya kutoa ajira kwa walionizunguka

Mantiki ni kuwa utajiri wangu hauna maana yeyote, kama ninaoishi nao ni maskini! Vitu ni vya msimu tu, inafika wakati vogue yako utaiona ya zamani na utaichoka, jumba lako la fahari utalala chumba kimoja tu, ila furaha ya kweli ni ile inayodumu nayo ni kusaidia binadamu wenzako.

 • Kuna wakati nilifikiria nikipata music system maisha yangu yatakuwa mazuri. Nikaweza kununua. Nikaizoea nikaona ya kawaida.
 • Nikasema nikinunua TV kubwa kabisa nitafurahi. Nikanunua, vipindi vyake vikaanza kuniboa.
 • Nikasema nikinunua gari (used) nitakuwa nimemaliza. Baada ya muda nikaliona limepitwa na wakati.
 • Nikaamua ninunue jipya kabisa, baada ya miaka mitatu nikalichoka
 • Nikajenga nyumba nzuri ya kuishi....bado nataka kujenga zingine...ila
 • ...nikasaidia watu wengi wakabadilishamaisha yao kuwa bora...NIMERIDHIKA NA MOYO WANGU U SAFI KABISA!

Mkuu wewe uko kwenye thinking level ya hali ya juu sana kama akina Michael Bloomberg. Kwenye Maslow hierachy of needs wewe uko kwenye ile ya juu kabisa inayoitwa excellence. You are seeking excellence. Bravo!
 
SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,579
2,000
Nikizipata nakuja kujitolea kuzinunulia CT scan machines hospitali zote za wilaya na mkoa bongo.
Nitajitolea pia kununua surgical instruments na kujenga modern cardiac operating theatre pale Muhimbili ili wagonjwa wote wa moyo wakihitaji surgry wasiende tena India bali wafanyiwe upasuaji na kupona hapo hapo Dar.
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,250
Hawa wamefanya nini na dola zao????

Bakhresa Usd 620
Gulam Dewji Usd 560
Rostam Usd 420
Mengi Usd 280
Mfuruki Usd 110.
 
Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,557
1,225
aiseeeee babaangu mimi nitanunua nguo na kwanunua mbege kijiji kizima cha rombo wanjwe
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,025
2,000
Mkuu wewe uko kwenye thinking level ya hali ya juu sana kama akina Michael Bloomberg. Kwenye Maslow hierachy of needs wewe uko kwenye ile ya juu kabisa inayoitwa excellence. You are seeking excellence. Bravo!

Hata hivyo ili kuweza kufika ngazi hiyo unahitaji pia kupitia zingine ili upate ufahamu.
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
3,948
2,000
Nitainunua malawi pamoja na Joyce banda niifanye sehemu ya tanzania na niite mkoa wa nyasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom