Haya tena wale mnaotegemea kasalary ka mwezi huu kimenuka tena.

M

Mfalme wa Gheto

Member
Jul 27, 2012
41
0
Jamani hv hii nchi inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa mnaweza jionea hali halisi kwa kutembelea mbao za matangazo Muhimbili,wamesema pesa itachelewa kwa sababu mpaka sasa bado hawajaletewa toka hazina. Hivi watu tukisema waziri mkuu ni muongo kama Godbless Lema alivyosemaga watasema hatumtendei haki waziri mkuu? dah! Tanzania zaidi ya uijuavyo. source mimi mwenyewe nimeliona tangazo kwa macho yangu.
 
B

Bob G

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
2,353
1,195
we ulifikiri ndege inayotumiwa na msomali kuokoa uhai wa ccm inatumia maji
Jamani hv hii nchi
inaelekea wapi? Waziri mkuu ktk kikao kilichopita cha bunge akijibu
swali kuhusu kuchelewa kwa mishahara alisema tatizo limekwisha. Sasa
mnaweza jionea hali halisi kwa kutembelea mbao za matangazo
Muhimbili,wamesema pesa itachelewa kwa sababu mpaka sasa bado
hawajaletewa toka hazina. Hivi watu tukisema waziri mkuu ni muongo kama
Godbless Lema alivyosemaga watasema hatumtendei haki waziri mkuu? dah!
Tanzania zaidi ya uijuavyo. source mimi mwenyewe nimeliona tangazo kwa
macho yangu.
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,739
2,000
Kwani huyo Waziri mkuu alipokuwa anajibu hilo swali alisema sababu ya kucheleweshwa kwa mshahara zilikuwa ni zipi?
 
G

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,636
1,195
Kwani huyo Waziri mkuu alipokuwa anajibu hilo swali alisema sababu ya kucheleweshwa kwa mshahara zilikuwa ni zipi?
Wanajiandaa kupeleka wanajeshi Congo kupambana na M23, na Membe alisema hawahitaji msaada wa mtu yeyote kupeleka battalion moja huko mashariki mwa Congo kwani watatumia pesa zao wenyewe. Jiulize hizo pesa wanazitoa wapi na je hiyo budget walikuwa nayo?

Inabidi mishahara ichelewe kidogo, teh...
 
Aza

Aza

JF-Expert Member
Feb 23, 2010
1,703
1,250
kama ni kweli kazi tunayo sasa,na hili la leo kontena lenye vifaa bandia vya ARV lanaswa tena (source EA radio)
ivi ile kesi ya kiwanda kile cha ARV wamefikishwa mahakamani?
 
H

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,600
1,225
Of all people, you take Mr. PM's word?!
 
M

Mfalme wa Gheto

Member
Jul 27, 2012
41
0
Kwani huyo Waziri mkuu alipokuwa anajibu hilo swali alisema sababu ya kucheleweshwa kwa mshahara zilikuwa ni zipi?
kaka alisema ni tatizo la network yaani kale ka Program ka Epirco9 kama ulikuwa unafatilia vizuri lile sakata@ITEGAMATWI
 
M

Mfalme wa Gheto

Member
Jul 27, 2012
41
0
Wanajiandaa kupeleka wanajeshi Congo kupambana na M23, na Membe alisema hawahitaji msaada wa mtu yeyote kupeleka battalion moja huko mashariki mwa Congo kwani watatumia pesa zao wenyewe. Jiulize hizo pesa wanazitoa wapi na je hiyo budget walikuwa nayo?

Inabidi mishahara ichelewe kidogo, teh...
hakika hii inchi imeoza zaidi ya uozo
 
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,279
2,000
Tuwe wafabiashara sasa lakini nako kuna changamoto maana tenda wanapeana wenyewe wakubwa na sie tutabaki kuhuzunika
 
ligendayika

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,177
1,225
ww unamwamini pinda shauri yako
 
F

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,663
2,000
kama ni kweli kazi tunayo sasa,na hili la leo kontena lenye vifaa bandia vya ARV lanaswa tena (source EA radio)
ivi ile kesi ya kiwanda kile cha ARV wamefikishwa mahakamani?
Mbona umeelezwa mara nyingi hapa na wana JF kwamba Kiwanda cha ARV cha arusha ni cha CCM,ndio maana shukrani ya CCM ni kumfanya Madabida awe mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,hakuna kesi wala nini ,Mke wa Madabida Zarina madabida alisema munaosema dawa feki muna yenu mambo kwa maana ya ya wadhibiti wa chakula na madawa ,nchi hii ni zaidi ya ujuavyo mpaka jini au pepo la CCM litakapowatoka labda ndio nchi itakuwa kwenye msatari
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,564
1,250
Hivi mnadhani ule uchaguzi wa CCM kule Dodoma umetumia hela zipi?
 
K

kinai

Senior Member
Oct 13, 2012
159
0
Ccm oyee! Yaani ukisikia ccm wanafanya ziara za chama mikoani uhesabu maumivu kwa watumishi wa serikali. Eti kinana na wenzake wafanye mapinduzi ya uchumi wakati kulipa vimshahara vya watumishi wanashindwa! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm! Ccm!
 
cacico

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,377
1,250
Hii serikali ni horrible sijapata kujua, walitaka kuchukua kichwa cha nyerere na mkwawa wakapime brain capacity zao!! Nawaita tena bureeeeeeeeeee siku itakapofika ya jk, wachukuwe kichwa chake, wakapime umburula wake, na wala kisirudi tena!
 
Hahahahahahaha. U made my day . Nimeku miss cacico
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom