Wachina wasipewe miradi ya barabara inayopita hifadhi za taifa

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
4,320
7,529
Wana jf......mali zetu zinatoweka kwa kiwango cha kutisha....tembo wanateketea, twiga wanapandishwa ndege sijui hali itakuwaje baada ya miaka kumi ijayo??????
Wito wangu, wenzetu wachina meno ya tembo na nyara nyinginezo za taifa ambazo ziko kwenye hifadhi yetu ni zaidi ya vijisenti tunavyowapa kujenga barabara....... Huo ndio urithi wetu, hiyo ndio amana yetu inakuwaje serikali inawapa fursa wageni kufika huko hifadhini wakiwa peke yao eti wanajenga barabara.....????????? Mnajidanganya, wenzenu mchana wanajenga barabara usiku wanavuna nyara zetuuuuuuuuu....
Viongozi amkeni jamaniiiiiiiiiiii.......
Msiwape barabara za hukooooooooooooooo.... Mwenye maskio na asikie
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,515
11,824
mkuu hoja yako ni sahihi kabisa,tatizo viongozi wetu wakihongwa safari ya china basi wanasaini mkataba
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
4,320
7,529
mkuu hoja yako ni sahihi kabisa,tatizo viongozi wetu wakihongwa safari ya china basi wanasaini mkataba


mkuu ukipewa taarifa sahihi na watu walio karibu na hawa wachina utalia mpaka uzilai....... Kumbe kuna sehemu zingine wanaomba kuchimba kifusi cha kuweka barabarani theni wakikuta madini wanachimba unakua mradiiiiii kimia kimiaaa. Aiseeeeeee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom