Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hali ya mshangao mkubwa ukipita mitaani siku hizi utakuta idadi kubwa ya watu wanauza korosho za kuchoma na sio za kubanguliwa kama kawaida yake. Hali hiyo ilinistusha kwa sababu nakumbuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Amefariki kwa ajali ya pikipiki alipokua ametoka hospitali kumpelekea mke wake chakula aliyelazwa kwa uchungu wa kujifungua,Mwaka jana alimfukuza mke wake mwingine aliyeish naye kwa miaka 3 na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nguvu kubwa inayotumika katika matangazo ya bia na kondoms hadharani, watoto na vijana wengi sidhani kama watasalimika na kua walevi na wazinifu. Pombe inatangazwa kua ni haramu tu kutumia ukiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mtabadilika lini?-Mmekula Hela ya Marehemu Sharo Milionea Jeshi la polisi, tungependa mjue kuwa ninyi mnaishi katika jamii. Sio vizuri sana kuiona jamii ni ya watu wajinga sana...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu wana JF mwenzetu, kaka yetu na rafiki yetu Mwl INNOCENT wa shule ya sekondari St. Mark's ya Kongowe Mbagala DSM ametutoka
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu mlipoweka haya mabomba yenu ya Wachina mwaka 2010 huku Tabata Segerea, Kisukuru na Kimanga,hayajatoa hata tone la maji. Maafisa wa Wizara ya Maji mnapewa majuma mawili kuanzia sasa aidha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wahafidhina lazima msimame na kucha kupinga tulizeni mpira haya ndiyo manufaa ya biashara hii 1.Kipato kwa mhusika hujipatia kipato cha kumwezesha kumudu maisha na chanzo kwa mapato ya...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Jamani leo nimepata sms ya kuwa tayali nimeshasajiliwa sim banking ya crdb sasa katika kuperuzi ili niangalie huduma zipatikazo kwenye sim banking nikakuta huduma ya ""agiza hawala"....sasa mwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Cannibal Warlords of Liberia (Full Length Documentary) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhari usijisumbue kujibu threads za wana-magamba(aka wana mabwepande) kwa kuwa wenzenu hao hawatetei chama chao ila wako field. Hebu soma sms hii inayopeperushwa katika simu za mkononi. Nawe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rap music fan who shouted n***** at a black man is CLEARED of racism as magistrates accept he was using 'street slang' Christopher Jones argued the word is a 'term of endearment' for him 'I can...
1 Reactions
0 Replies
983 Views
Ndugu zangu, hivi karibuni Bw Mapachu alizindua kitabu kiitwacho "CHALLENGING THE FRONTIERS OF AFRICAN INTERGRATION". Nauliza, kinapatikana maduka gani? Mwenye ufahamu atujulishe ninakitafuta sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hbr wakuu, mimi ni mwalimu niliyepata shahada ya elimu mwaka jana, nnlifika kwa afisa utumishi ili kufanyiwa marekebisho ya mshahara kwa kigezo cha elim baada ya kukamilisha hatua zote,jambo la...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Nina hitaji chakula kama wewe unavyokula na kusaza!!! Ninahitaji Matibabu kama wewe unavyotibiwa India na Ulaya!!! Ninahitaji Elimu kama wewe ulivyo profesa!!! Baba yangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tank la mafuta limeanguka mlimani Sekenke jimbo la Mwigulu Nchemba. Foleni ya magari ni ndefu,pia harakati za kuchota mafuta inaendelea. Yeyote atakayesoma huu uzi amjuLishe kamanda wa mkoa wa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
hakuna sehemu inayokosa jina, haya majina yalitokana n tukio fulani! mfano kule Tanga kuna mwembebasha -inasemekana jina hilo lilitokana na matukio yake kuwa kila aliyepumzika kwenye huo mwembe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshtushwa sana na habari hii wakati naperuzi kurasa za BBC. Amakweli dunia inaelekea mwisho sasa. Hivi karibuni kumezuka tabia ya kufukua maiti na kukata vichwa vyao na sehemu nyingine za...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nadhani ni mara ya pili nasikia kiongozi wa juu wa Taifa akisema kuchimba madini ta uranium hakuna madhara ya mionzi, akitoa wazo kwamba uranium kama malighafi haina madhara hadi itakapokuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys, Take the kids to the school from teaching of good english and speak it with speed. Now every time you laugh me that of my language is broken. tell me please my language good or bad after...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Watanzania tuache kutega kazi. Mtu akiomba ruhusa akamuuguze dada yake leo, kesho ataomba akamzike mjomba wake! Ilimradi visingizio vimezidi. Ndani ya EAC, uzembe hauna nafasi tusipobadilika fursa...
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…