Tafakari ya kina katika taswira na mustakabali wa taifa letu (live)

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
19,539
2,000

Nina hitaji chakula kama wewe unavyokula na kusaza!!!


Ninahitaji Matibabu kama wewe unavyotibiwa India na Ulaya!!!

Ninahitaji Elimu kama wewe ulivyo profesa!!!


Baba yangu alikurithisha rasirimali ili unitunze mimi.
 

Attachments

  • tanzania vision.jpg
    tanzania vision.jpg
    180.4 KB · Views: 58

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,778
2,000
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:
 

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,000
Elimu ya msingi ni bure. Kwa nini huyu mtoto yuko mitaani? Ni kosa la wazazi wake na wasipolirekebisha ataendelea kuwa omba omba au muosha magari hadi Yesu atakaporudi. At that age sio jukumu la serikali kumlea ni jukumu la wazazi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom