Barua ya sensa kwenda Oysterbay! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya sensa kwenda Oysterbay!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Aug 31, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Guys,
  Take the kids to the school from teaching of good english and speak it with speed. Now every time you laugh me that of my language is broken. tell me please my language good or bad after read the letter from the street government of oysterbay to people of oysterbay...
  you will laugh.... View attachment 63475 View attachment 63475
   

  Attached Files:

 2. S

  Saskatchewan Senior Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chezea kiinglishi ww! Ukiongea English lazima utoe misuli!
   
 3. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  English wito ndg yangu bora mie na Kiswahili changu maana hapo nadhani ilimchukua wiki nzima kuandika barua hiyo maana lazima iandikwe kwa Kiswahili kwanza Halafu ndio ipigwe kiinglish
  Duh pole yake
  Na ww hapo juu ndio umenichanganya kabisa(now ever time you me of my........
  duh kazi ipo
   
 4. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lugha ya watu hii aisee...
   
 5. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  kulikuwa hamna ulazima wa kuandika kwa kingereza maana inajulikana lugha yetu ni kiswahili
   
 6. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kilaza wa mwisho huyo chairman kwani alitumwa kuandika kingreza? Sasa ukimsikia anaongea hiyo lugha utafikiri anatafuna mawe. Nenda BC kupiga brashi we kishoia.
   
 7. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh! aisee!
   
 8. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  My gosh!
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sijaona why aandike kiingeleza angenyuka kiswahili kwa wageni as long as wako Tz they had to take trouble ya kupata tafsiri au their host kuwatafsiria
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Haaaa!
   
 11. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  ha ha ha ha duh
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  huyu m/kiti(Peter J. Mushi) ndio tatizo, ka-saini vipi barua bila kusoma?
   
 13. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Vp kama aliiandaa mwenyewe?
   
 14. M

  Mmeku Tukulu Member

  #14
  Nov 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mushi babaangu ndio nini hiyo?
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kule kaskazini nako upande wa kutema yai bado wanapata shida sana...sasa ukichanganya na lafudhi yao ndio kabisaaaa!
   
 16. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye kutafuna mawe ndio umenivunja mbavu mpaka hapa watu wananishangaa! kweli JF ni mwisho wa mambo! yaani wewe lugha ya watu wengine wanasema ni sawa na kutafuna yai we unasema kutafuna mawe...duh!
   
 17. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  alichopatia hapo ni thanks in advance tu. Duh! Kule si wanajifanyaga wanaongea lugha ngeni tu., sasa hapa ilikuwaje? Alishindwa hata kumpatia mwanaye amuandikie?
   
 18. k

  kibati kichakavu Member

  #18
  Nov 25, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  lugha sio tatizo,kinachotakiwa ni ujumbe uliodhamiriwa kuwafikia walengwa.hata kama kiingereza chake ni upogoupogo lakini akafikisha ujumbe,mie sioni tatizo.big up kwake!
   
 19. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280


  LOL,,WAPI HII DSM??AHAHAA

  TAAAM,,DSM SEMA AAH DAR ES SALAAM TAAAM,,,DSM SEMAAA,, AAH DAR ES SALAAM TAAAM...!!

  VIOJA KWELI KWELI..


  :madgrin: :madgrin:
   
 20. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Haya sasa tuamue wenyewe tunahitaji kiingereza au Kiswahili hapo ni aibu tupu
   
Loading...