'Uswahili' hauna nafasi EAC

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
0
Watanzania tuache kutega kazi. Mtu akiomba ruhusa akamuuguze dada yake leo, kesho ataomba akamzike mjomba wake! Ilimradi visingizio vimezidi. Ndani ya EAC, uzembe hauna nafasi tusipobadilika fursa zote watachukua wageni na kutuacha tukilalamika!
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,089
1,225
Nani kakwambia kuwa hao unaowaona wachapa kazi hawana uswahili? Umewahi kuishi au kufanya kazi Kenya au Uganda? Waswahili ni wale wale. Kinachofaa ni mazingira yanayopiga vita uzembe kama huu. Kinachofanya watanzania wategee ni ile hali ya kulipwa kiduchu na kuwa na nafasi ya kuiba kazini. Ukiwalipa vizuri wataacha utegaji. Mbona wanaofanya kazi nje hawaleti uswahili kazini?
 
Top Bottom