Njooni mchukue vitu vyenu...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Tangu mlipoweka haya mabomba yenu ya Wachina mwaka 2010 huku Tabata Segerea, Kisukuru na Kimanga,hayajatoa hata tone la maji. Maafisa wa Wizara ya Maji mnapewa majuma mawili kuanzia sasa aidha kuja kutoa mabomba yenu au kuhakikisha yanatoa maji. La sivyo,tutaanza kuwa wauzaji wazuri wa 'skrepa'...
 
Mkuu, sikuungi mkono kwa hilo la kuanza kun`goa mabomba kisa maji yamechelewa, cha muhimu ni kumfuata mbunge au diwani wenu afuatilie na kuhakikisha maji yanaunganishwa. Kosa la kuondoa mabomba mkubwa wangu itabidi mngoje miaka mingine 50 ili kufikiriwa na sirikari hii. Hasira hasara, tumieni busara kuliko jazba, kama ukifikiri tena, mko karibu mno na mafanikio.
Ni ushauri tu.
 
Mkuu Kamuzu,Segerea haina mbunge ni kama either alishagakufa au yuko Ikulu,maana ndiyo mbunge wao hao wa Ikulu"Lakini Segerea lililetwaga jina tu mtu anayeitwa mbunge ila hatumjui.
 
Kuwa na subira kidogo tu, maji yataanza kutoka soon, tukija kuomba za urais, ubunge na udiwani 2015.
CCM oyeeee
Tangu mlipoweka haya mabomba yenu ya Wachina mwaka 2010 huku Tabata Segerea, Kisukuru na Kimanga,hayajatoa hata tone la maji. Maafisa wa Wizara ya Maji mnapewa majuma mawili kuanzia sasa aidha kuja kutoa mabomba yenu au kuhakikisha yanatoa maji. La sivyo,tutaanza kuwa wauzaji wazuri wa 'skrepa'...
 
siyo huko tu hata kimara tuliwekewa, naomba nikukumbushe hii ndio tanzania bwana watu wameisha chukua chao mapema wameisha sepa huo mradi haupo tena,maana waziri aliulizwa swali hilo na mh mnyika alijikanyatu bungeni.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom