Huduma ya agiza hawala ya crdb bank sim banking imekaaa vipi

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,087
3,233
Jamani leo nimepata sms ya kuwa tayali nimeshasajiliwa sim banking ya crdb sasa katika kuperuzi ili niangalie huduma zipatikazo kwenye sim banking nikakuta huduma ya ""agiza hawala"....sasa mwenye uelewa na huduma hiii please anifahamishe iko vipi.....na ameshawahi kutumia kwa maana hapa nipo mbali na benki kwa hiyo sikupata nafasi kufahamu hili.................


Please mwenye uelewa huduma hiii atujuzeee jamani
 

Mfuga Mbwa

Member
Dec 1, 2012
18
2
Kwa uhakika mzuru fika benk pindi utakapokuwa shm ya kuweza ama kama wanatoa namba za customer care wasiliana nao maana wengine humu watakupotosha tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom