Tumekuwa wngi tukisubiri habari za msiba si haba kushukuru mungu kwa habari za furaha pia furahini kwa kila jambo mchana huu dada yangu upendo augustino mfanyakazi wa rwandair amepata mtoto wa...
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni za mabasi wamepandisha nauli za mabasi kinyemela, licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kuwapiga marukufu. abiria mbalimabali...
Wanajamvi, kama kawaida yangu huwa siishi uchokonozi!! Leo nimekuja na hili baada ya kulitafakali kwa muda. Wakati zinaanzishwa taasisi hizi tuliambiwa kuwa zipo kwa ajili ya kumsimamia na...
Kuna Tycoon wa Kimasai mwenyeji wa Simanjiro ameuawa kwa kunyongwa akiwa hotel ya Premier Palace jijini Arusha.Hakuna aliyekamatwa mpaka sasa.
Source: mwananchi kutoka eneo la tukio.
Wana JF,
Inasikitisha sana kuona juhudi alizozianzisha Waziri makini Mheshimiwa Dr, Mwakyembe za kuhakikisha usafiri wa Train unaanza kwa mara ya kwanza katika Jiji la DSM zikianza kuhujumiwa kwa...
Juzi tuliona jinsi mwakyembe alivyokurupuka na kuwakamata kina marystella minja kuwa wameiba sijui bandarini
Ukweli ni kwamba nilivyoona ile habari nikagundua kuwa kuna watu wamechoma ile inshu ...
Nyuki wametawanisha masishi baada ya waombolesaji waliokuwa katika ibada ya masishi kuanza kung'atwa na nyuki
nyuki hao wameleta madhara makubwa kiasi ambacho baadhi ya watu wamekimbizwa Kibosho...
Ili kudhibiti udanganyifu katika usajili wa wanafunzi shuleni, serikali kupitia Wizara ya elimu na Mafunzo ya Ufundi imewazuia wanafunzi walioko Kidato cha Pili ambao hawana TSM 9 fomu kutofanya...
Kitu kilicho nisononesha na kuniumiza 2012 ni hiki hapa.
UFAFANUZI KUHUSU FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.
Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho...
hapa kivukoni tunanyanyasika sana sana sana,yani unakaa foleni ya kivuko two hrs,bado magari mengine yanapita pembeni na askari wanaona wanaochomekea,na wengine wanapata sapoti ya askari...
Ha ha ha e bana eee! kumbe ubepari ni noma, yale mambo ambayo wazungu walikuwa wanawafanyia babu zetu wakati wa ukoloni bado wanaendelea nayo ndani ya nchi zao kwa raia zao. Hakiya nani utumwa...
reasons to not visit TANZANIA
1. Malaria
The whole of Tanzania is malarial and virtually all international visitors take anti-malarial prophylaxis and other precautions. If...
Details
Imechapishwa Ijumaa, 07 Desemba 2012
07:45
Imeandikwa na John Mhala, Kibosho
Imesomwa mara: 811
PAROKO wa Parokia ya Mkombole ya
Kanisa Katoliki, aliyetajwa kwa jina moja la
Ephraim...
..kwanza tunamshukuru na kumpongeza Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba kwa kuamua kulivalia njuga tatizo la Udini.
..huyu ameonyesha ujasiri mkubwa kwasababu kila mwanasiasa, including Amiri Jeshi...
Miaka 51 ya uhuru! Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Je umewahi kufikiria tumethubutu kufanya nini? Tumeweza nini? Na tunasonga mbele kwenda wapi?
1. Miaka 30 ilopita tulikuwa na viwanda...
Wanabodi hii email imetumwa kazini kwetu nimeona niwashirikishe na nyie.
Dear Sir/Madam,
Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful...
Board ya mikopo wanakata 8% ya mshahara kama lejesho la deni kwa walionufaika na mikopo,
ninachokiona mimi wanafunzi wananufaika kwa kiwango tofauti, kuna wenye asilimia mia adi sifuri, na kuna...
Wadau naomba mniweke wazi kweli bado kuna kizazi cha karne ya 19 kina ishi mpaka leo hii haya ya metakana na waziri simba kusema watoto wanao soma karne hii ya 21 nitofauti na wao walio soma karne...
Uk 49, kifungu cha 46,kifungu kidogo cha (1). Kinsema.
During the president's tenure of office in accordance with this Constitution it shal be prohobited to institute or continue in court anya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.