Funzo jwtz na polisi tanzania.

malisoka

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,863
2,000
Misri: wanajeshi marafiki waandamanaji. TZ: JWTZ ni maadui wa waandamanaji. Misri: polisi poa. nisaidie kutofautisha mku
 
K

katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
264
0
Kwa hiyo polisi poa ndo funzo?
 
malisoka

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,863
2,000
ninamaanisha kwamba polisi wa misri pamoja na maandamano ya maelfu ya watu hawauwi watu kama polisi wetu TZ wana akili.
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
5,890
2,000
Tatizo polic wa bongo bado wapowapo kwanza!
 
Top Bottom