Miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
0
Miaka 51 ya uhuru! Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Je umewahi kufikiria tumethubutu kufanya nini? Tumeweza nini? Na tunasonga mbele kwenda wapi?
1. Miaka 30 ilopita tulikuwa na viwanda leo ni kama hatuna(tunasonga mbele)
2. Kumshtaki fisadi wa mabilioni na kumhukumu kifungo miaka miwili wakati mwizi wa
ng'ombe akihukumiwa anafia gelani.
3. Kuyatupilia mbali madini yalokuwa yanatukera na kubakiwa na mahandaki kwa ajili
makumbusho (kweli tumethubutu)
4. Miaka 30 ilopita mizigo mikubwa ilikuwa inapita relini, leo inapita barabarani (kweli
tunasonga mbele kwa kasi)
5. ...........................
6....................................
7...............................
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom