Hongera dada Upendo Augustino kwa kupata mtoto wa kiume mchana huu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Tumekuwa wngi tukisubiri habari za msiba si haba kushukuru mungu kwa habari za furaha pia furahini kwa kila jambo mchana huu dada yangu upendo augustino mfanyakazi wa rwandair amepata mtoto wa kiume mungu ni mwema na fadhili za ke ni za milele si mbaya ukiwa unaitaji mtoto usomapo furha hii mwombe mungu si mbaya ukapata nguvu na uweza wa mungu kuweka kiumbe tumboni mwako ikawe kwako in jesus name
mungu awabariki mumeo na wote mliowaombea kwa nyakati moja ama nyingine wakati wa ujauzito
sifa kwa mungu
 
Umesahau kutaja baba mtoto ni nani, ni mtoto wake wangapi, ametoa mimba mara ngapi, etc
 
Back
Top Bottom