Mauaji ya kinyama ndani ya Premier Palace -ARUSHA

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,351
2,000
Kuna Tycoon wa Kimasai mwenyeji wa Simanjiro ameuawa kwa kunyongwa akiwa hotel ya Premier Palace jijini Arusha.Hakuna aliyekamatwa mpaka sasa.

Source: mwananchi kutoka eneo la tukio.
 
fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
334
250
jamaa aliluwa meli wa hatari..yani alikuwa anawakopeshaga wale wa maasai wenye mashimo na landcruiser..jamaa wanahasira mpaka basi..jana hadi OLE SENDEKA alikuwa kwenye kikao chao..wamekazaje sura..ukibonga mbovu utakula risasi mpaka basi..jamaa inasemekana alikuwa na mwanamke kama wakikenya
..kapigwa kitu kama billion hivi kwasabu alikuwa na cash kama m600 na mawe..
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Pesa ni mwanaharamu na zina laana, pale tu Yuda alipozithamini kuliko uhai wa kristo ndo aliharibu
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,170
2,000
Hakika nawaambieni ya kwamba hawa wauaji wamefanya mbaya sana!

Kwa habari nilizonyaka kupitia hawa wafanyabiashara wenzake ni kwamba bado kuna utata sana kwani msako wa chini kwa chini bado unaendelea.
Na baada ya muda ntarudi na jina kamili ya marehemu!

Apumzike kwa Amani yake Bwana!
 
arinaswi

Senior Member
Sep 25, 2010
183
170
huyo jamaa alikuwa na simu na nguo za kimasai na sime alikuwa nalo. inaonesha walimnywesha madawa kum subdue ndipo wakamtendea mauaji hayo. alikuwa amefungwa miguu na mikono na usoni wamemfunga shuka kwa kulikaza sana. hilo la pesa kuibiwa watu wamejuaje maana halijatangazwa???? huyu marehemu alikuwa anaitwa jacob ngelirumo, miaka 52 anaishi endasaki.

hicho chumba kilikuwa registered kwa jina la mwanamke.
 
sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,832
0
Hilo ni lidhamini la magamba limekufwaaa twendelee kuomba mamtu kama hayo yaishe yote.yaani milion 600 unatembea nazo! Namatanzanaiti mengi mengi wakat meme na majiran zangu hatujawah kushikaga hata m!! Me silii nacheka hahaha,yaani lijitu linapesa nyingi limekufa hata bila kuacha shule ya watoto yatima halina msaada wowote kwa jamii achen liende ni njia za 2015 zinafunguka
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,325
2,000
Preta

Ni habari ya kweli na hata hivyo mpaka majira ningine bila shaka wadau watatuwekea picha!

huyo jamaa alikuwa na simu na nguo za kimasai na sime alikuwa nalo. inaonesha walimnywesha madawa kum subdue ndipo wakamtendea mauaji hayo. alikuwa amefungwa miguu na mikono na usoni wamemfunga shuka kwa kulikaza sana. hilo la pesa kuibiwa watu wamejuaje maana halijatangazwa???? huyu marehemu alikuwa anaitwa jacob ngelirumo, miaka 52 anaishi endasaki.

hicho chumba kilikuwa registered kwa jina la mwanamke.

mimi ni Tomaso jamani........mpaka nione picha......
 
Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
May 24, 2008
3,736
2,000
jamaa aliluwa meli wa hatari..yani alikuwa anawakopeshaga wale wa maasai wenye mashimo na landcruiser..jamaa wanahasira mpaka basi..jana hadi OLE SENDEKA alikuwa kwenye kikao chao..wamekazaje sura..ukibonga mbovu utakula risasi mpaka basi..jamaa inasemekana alikuwa na mwanamke kama wakikenya
..kapigwa kitu kama billion hivi kwasabu alikuwa na cash kama m600 na mawe..

Umeona hapo nilipobold huo ndio ulimbukeni wa watz wanapopata hela, bank zipo za kufugia kuku?? siku hizi kila kitu online hakuna haja ya kutembea na mabulungutu ya hela ni kukitafuta kifo kwenye nchi kama hii ya watu waliokata tamaa ya maisha.
RIP taikun wengine wajifunze kutoka hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom