Habari za leo wana jamii,
Naomba msaada wenu juu ya kuandaa muswada(proposal) kwa ajili ya kuandaa kipindi ambacho kitarushwa katika televisheni.
Pia mambo ya muhimu ya kuzingatia katika hiyo...
Angalia wanaume dizaini hizi
1 suruali nusu mlingoti
2 nywele kaweka dawa kama
mwanamke
3 amesuka kama mwanamke
4 akitembea kama kalemewa na begi la primary
5 analamba mkorogo full
carolite...
Katika sherehe za miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika mwaka jana, pamoja na vitu vingi vilivyofanyika siku ile kitu kilichonifurahisha zaidi ni ile Alaiki ya watoto. Walifanya michezo mbalimbali...
Eti jamani hivi watu wenye ngozi nyeusi(esp sisi waafrika) tuna IQ (Inteligence quotient)(kipimo cha akili ama werevu kwa binadamu)sawa na wenzetu??..Unajua hua najiuliza wenzetu wana kitu gani...
Hatimae kesi ya mauaji ya watoto waliokuwa wakisherehekea siku kuu ya Idd el Fitri mwaka 2008 katika kumbi za NSSF na Babbles Night Club manispaa ya Tabora ambapo watuhumiwa ni Shash na Vituko kwa...
Jamani huwa najiuliza hawa wanasiasa wanayoyafanya duniani ya kukandamiza watu na hadaa tele, wanapokufa wanakwenda wapi. Maana kwa shetani hawawezi kwenda, na yeye pamoja na kuwa ni mwovu, lakini...
Senior Conservatives form gay marriage campaign group
Boris Johnson and Michael Gove among Tories backing moves to allow same-sex weddings to be held in places of...
Salaamu sana wakuu,katika pitapita zangu hapa mwanza nimeshuhudia mitaa mbalimbali wameweka vibarazani kompyuta na wana buny cds wanajaza nyimbo kwenye flash,kali zaidi kuna mtaa flani lumumba...
Asilimia kubwa ya Viongozi na mawaziri walisomeshwa bure na Mwalimu Nyerere.
Mwalimu aliona umuhimu wa kupigana na adui Ujinga na elimu ndo ukombozi wa kiuchumi na kuleta maendeleo kwa taifa...
Ni muda mrefu sana Gazeti la Mwanahalisi halionekani, wanaJF naomba mnijulishe sakata la Gazeti hili limeishia wapi na tutarajie nini kuhusu hatima yake. Tumeona kuibuka magazeti ya wiki kama hilo...
Imekuwa jambo la kawaida kuona watu wakiyumba kwa umahiri barabarani wakipishana au kukwepa magari. Sababu kuu ni kwamba sehemu iliyotengwa kwa ajili yao imehodhiwa na wafanyabiashara. Manunguniko...
Inasikitisha sana nchi hii imefikia wakati sasa mpaka matapeli wanataka kushika nchi hii....Huyu mtu ni hatari sana mwaka 2009 alikuja na thread yake ya kitapeli eti atawatafutia watu kazi majuu...
Leo asubuhi nimeteremka kituo cha Palm Beach, nikatoa nauli yangu kwa konda Tsh 2000/= Wakati nikisubiri change mbele yangu nawaona watu wawili wakiniangalia sana. Nikapokea change yangu na wakati...
Imetokea kati ya Mzumbe na Morogoro.majina na habari kamili zitawajia punde
yasemekana wote ni wa kike...
More update.
kwa mujibu wa mwanaJF
Ni kweli jana kulikuwa na mahafali Mzumbe University...
FACEBOOK YATISHIA KUJITOA ENDAPO HATUTAKUBALI "USHOGA"
Huenda Facebook ikafikia uamuzi wa kuichijia baharini Uganda katika orodha ya nchi inakopatikana kutokana na msimamo mkali wa nchi hiyo...
SATURDAY, DECEMBER 8, 2012
MTOTO WA MIAKA SABA AACHIWA MTOTO MCHANGA NA MWANAMKE ASIYEJULIKANA MBEYA
Mtoto Sharifu huyoo wa darasa la pili shule ya msingi Mbata akiletwa na wenzake kuja...
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 8 mchana katika kata ya mseke barabara ya Iringa Mbeya basi hilo mali ya msanya lenye namba T803 APV lilokua likielekea usokami wilaya ya mufindi limepata ajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.