Be careful if you are in Dar es salaam.

Huntsman

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
633
559
Wanabodi hii email imetumwa kazini kwetu nimeona niwashirikishe na nyie.

Dear Sir/Madam,
Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations. They sometimes parade themselves as sales promoters giving out free key holders.
Please do not buy or accept these key holders no matter how beautiful they look.

The key holders have inbuilt tracking device chip which allows them to track you to your home or wherever your car is packed. The key holders are very beautiful to resist. Accepting same may endanger your life. All are therefore enjoined to pass this message onward to colleagues, family members and loved ones. Alert everyone in your clique, including Drivers, Domestic staff etc

Many thanks,My take....

Tuwe makini jamani huku kuendelea kukosekana kwa ajira kunafanya watu wazidi kubuni mbinu za wizi zaidi ya kujikwamua kimaisha.
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,352
66,296
Mmh asante kwa taarifa ila sidhani kama wanaolengwa hapo ni makabwela...kuendesha hiyo teknolojia nadhani kuna gharama na watu pekee wanaoweza kuwa wahanga ni wenye NAZO yaani wenye CHAPAA wale WADOSI
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,637

By the way, why should you spend money to track something you have already seen and liked? why would they track it and see and know where it is packed, isn't this cheap, or they want also want to make some money from the key sales?
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
61,352
66,296
By the way, why should you spend money to track something you have already seen and liked? why would they track it and see and know where it is packed, isn't this cheap, or they want also want to make some money from the key sales?

kwangu mimi bado naona hii message ni some sort of a HOAX...why ain't such a case so far?
 
cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,081
477
TISS hiyo saizi yenu, shughulikeni nao sisi tuendelee kukimbizana na mkate wa kila siku
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,637
Wanabodi hii email imetumwa kazini kwetu nimeona niwashirikishe na nyie.

Dear Sir/Madam,
Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations. They sometimes parade themselves as sales promoters giving out free key holders.
Please do not buy or accept these key holders no matter how beautiful they look.

The key holders have inbuilt tracking device chip which allows them to track you to your home or wherever your car is packed. The key holders are very beautiful to resist. Accepting same may endanger your life. All are therefore enjoined to pass this message onward to colleagues, family members and loved ones. Alert everyone in your clique, including Drivers, Domestic staff etc

Many thanks,My take....

Tuwe makini jamani huku kuendelea kukosekana kwa ajira kunafanya watu wazidi kubuni mbinu za wizi zaidi ya kujikwamua kimaisha.

CCM wanahusika namna gani kwenye hii issue? ni mradi wao au wa mnec?
 
Njabu Ngabu

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
5,796
3,428
Wanabodi hii email imetumwa kazini kwetu nimeona niwashirikishe na nyie.

Dear Sir/Madam,
Information reaching Police formation indicates that: There is a syndicate of criminals selling beautiful key holders at Petrol Stations. They sometimes parade themselves as sales promoters giving out free key holders.
Please do not buy or accept these key holders no matter how beautiful they look.

The key holders have inbuilt tracking device chip which allows them to track you to your home or wherever your car is packed. The key holders are very beautiful to resist. Accepting same may endanger your life. All are therefore enjoined to pass this message onward to colleagues, family members and loved ones. Alert everyone in your clique, including Drivers, Domestic staff etc

Many thanks,My take....

Tuwe makini jamani huku kuendelea kukosekana kwa ajira kunafanya watu wazidi kubuni mbinu za wizi zaidi ya kujikwamua kimaisha.

Mambo ya kihindi haya.

Wakisha kufuata hadi nyumbani kwako halafu inakuwaje?

Kwani kitu gani kinawazuia kukufuata nyumbani kwako hata bila ya kukupa hiyo key holder?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom