Taarifa toka kwa wadau walioko Ngara ni kuwa kuna wakimbizi zaidi ya 20 wameingia kijiji kilichoko wilayani Ngara mpakani mwa Rwanda na Tanzania. Taarifa zaidi zimedokeza kuwa wakimbizi zaidi...
Wapendwa Watanzania, hivi karibuni kimefunguliwa kiwanda cha kutengeneza spiriti katika eneo la Kifaru,Mwanga Kilimanjaro.Kwa wanaopita na mabasi kutoka Dar kwenda Arusha nadhani mnakumbuka harufu...
Msaada kwa wale wenye orodha ya waliotunukiwa Nishani mbalimbali na Mh. JK sherehe za miaka 51 ya UHURU .... nilikuwa naomba waiweke hapa pamoja na sifa zao....
Nipo hospitalini kwa ajili ya Kuonana na Doctor. Kama dakika kumi hivi hazijapita, watoto zaidi ya kumi wamekuja kuchukua dawa za UKIMWI. Wengine hawajasindikizwa na wazazi wao kama watatu hivi...
Ni watu wa ajabu sana hawa, kila siku walikuwa wanapiga
kelele Bungeni CCM B - kumbe wenyewe ni CCM A, yaani viongozi
wao kadi wanazo na wanazilipia bila kusahau kuwa wanahudhuria
Mikutano ya...
Halo jf members, Unadhani nini kifanyike ili Gazeti la Mwanahalisi litoke kifungoni. Mwanzoni lilifungwa kwa siku 90 likafunguliwa, sasa hivi kifungo kimekuwa kikubwa zaidi( mpaka sasa takribani...
Waliopata kikombe cha Babu wa Loliondo wazidi kupoteza maisha. Utafiti uliofanyika wa idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ukimwi ktk Wilaya na Mkoa wa Geita inasemekana imeongezeka kufuatia...
Wanafahamu haya waajiri wetu wababishaji wanaodandia , sababu za watu za kutoajiri kwa mbwembwe kumbe nyingine hazi apply hapa kwetu.
The Lack Of Qualified Job Candidates Is A Myth...
habarini ndugu zangu wa JF,
leo nilikuwa natembelea guiness book of records kwenye website yao nikaona kwamba the oldest person on earth ana miaka 115,ila nimeshtuka sana,maana hapa Tanzania...
Habari!
nimetupia huku nikijua serikari yangu sikivu upitia sana jukwaa hili mara kwa mara......
1. Zimebaki siku chache sana kuingia digital, nakatika kujaribu kudadisi watanzania wachache...
Tcra ni chombo cha kusimamia mawasiliano nchini yakiwemo makampuni ya simu za mikononi, wadau inakuwaje mwananchi wa kijijini akinunua kifurushi cha kuongea anakatwa pesa kwa kupewa MB za...
WHOM SHOULD WE BELIEVE, FORBES or VENTURE AFRICA? While Venture Africa claims that the richest black woman in the world is Folorunsho Alakija, a 61 year-old Nigerian fashion designer and oil...
habari wakuu, kuna gari nataka kuiagiza, ni toyota allex ya mwaka 2001, na ni cc 1500. CIF price kuja bandari ya dar ni USD 3750!! Je nitalazimika kulipia kiasi gani kama tax na gharama nyingine...
VIJANA NA ULIMBUKENI;
Kitu ambacho kinaonekana wazi kwa sasa kwa Vijana wenzangu kwanza hatujitambui, hatujielewi, hatujui tulipotoka, tulipo na tunapopaswa kwenda. Lakini matatizo yote hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.