hapa kivukoni tunanyanyasika sana sana sana,yani unakaa foleni ya kivuko two hrs,bado magari mengine yanapita pembeni na askari wanaona wanaochomekea,na wengine wanapata sapoti ya askari kuchomekea,pili hawa wanaoelekeza gari ndani ya kivuko are not proffesional as wanafokea watu kama watoto,wanalazimisha uingize gari sehemu ambayo unajua kabisa gari haiwezi tosha na ikitokea mmekwaruzana magari wao huondoka na kuwaacha wenyewe,pia utaratibu wa gari zinazopita upande ule wa kigamboni ni mbovu,mana watu wanaojiona wanauwezo au kujuana wanapita tuuu na kufanya tunakaa kwenye foleni muda mrefu zaidi,utaratibu wa ticket ni mbovu na pia huku wakazi wamekuwa wengi so kuna haja ya kuongeza kivuko ,kiukweli najuta kuhamia huku!serikali ni kama haipo huku mana wao wakipita hawana cha kukaa kwa foleni,naona siwezi kumaliza najua unabusara na utanisaidia kuchuja yaliyokaa vibaya ila kiukweli tunateseka sana sisi tulioamua kufata utaratibu hapa kigamboni na upande wa kivukoni