Hili tukio limetokea wiki mbili zilizopita mkoani Arusha,.....kijana mmoja chokoraa,kama watu wengi walivyozoea kuwaita alikua anapewa matunzo yote na huyo mzungu.hata mzungu pindi yupo ulay...
Polen na Mishe za wiki wanaJF,
Nahitaji msaada wa uzoefu kuhusu Ving'amuzi vya Zuku,Star times,Easy Tv na Agape!! Kati ya hivi ni kipi chenye channel nzuri zenye uwiano mzuri kama...
Jioni ya leo nimeshindwa kupata fedha kutoka ATM ya NBC nikiambiwa account yangu haiwezi kufanya transaction yeyote. Nimeshuhudia pia watu kadhaa wakifikwa na hali kama hii. Lakini nikiendelea...
:msela:...............Kero zinaendelea kujitokeza siku hadi siku ndani ya magari yanayofanya town trip kama dala dala, vifodi au kama majina mbalimbali jinsi yanavyotambulika katika miji...
WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika...
...............Kero zinaendelea kujitokeza siku hadi siku ndani ya magari yanayofanya town trip kama dala dala, vifodi au kama majina mbalimbali jinsi yanavyotambulika katika miji mbalimbali...
Kwa kipindi cha miaka kadhaa sasa, kituo cha Television cha ITV kimekuwa kikiendesha kipindi cha kipima joto ambacho kinaendeshwa kwa mtindo wa kuuliza maswali ambapo kwa asilimia kubwa majibu...
Wakuu, nimenunua matairi ya Good Year, ya South Africa, kilichonishangaza ni hiyo promotion...ukinunua matatu wanakupa moja bure...je kuna mwenye uzoefu wa kutumia matairi haya? Wanadai kama...
Ni muda sasa umepita tangu Dr. Ulimboka aliporejea tena nchini akitokea katika matibabu na kupokelewa kifalmwe na madaktari wenzie.Katika vitu ambavyo watanzania na madaktari wenzie walitarajia...
Ndege ya kijeshi nchini Afrika Kusini imeanguka katika eneo la milima mashariki, ikiwa na abiria 11.
Ilikuwa ikisafiri kutoka mji wa Pretoria, ikielekea Mthatha, na iliripotiwa kutoweka siku ya...
Ni jambo la kushangaza kuona tuna engineers wengi ambao wamekuwa na msaada mdogo kutokana na elimu kwanza waliyopata ambayo inawaandaa kuwa viongozi ktk engineering na si vinginevyo !
Jana nilikwenda kujaza mafuta kwenye gari yangu nikakuta mafuta yamepanda bei!
Nawahurumia watanzania kwani humu jamii nikiona watu wanasifia ccm eti wamepata viongozi wazuri nawashangaa...
Naibu waziri wa Kazi na Ajira mh Milton Makongoro Mahanga' amesema leo katika kipindi cha TUONGEE, kuwa watu wenyekipato ndiyo wanafanya tatizo la watoto wa mitaani kuwa sugu, kwa kuwapa vijisenti...
Jana katika pita pita yangu nikajikuta nimeingia facebook moja kati ya vitu vilivyonishanga ni hiki nilikuta kuna link hii
TANZANIA LOANS SOCIETY: MIKOPO YA FEDHA KWA KILA MTANZANIA
ambayo kabla...
Wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, JF ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.