Habari za punde.wanafunzi 6 waliohitimu leo Mzumbe wahofiwa kufariki kwa ajali

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
Imetokea kati ya Mzumbe na Morogoro.majina na habari kamili zitawajia punde
yasemekana wote ni wa kike...

More update.
kwa mujibu wa mwanaJF

Ni kweli jana kulikuwa na mahafali Mzumbe University yaliyofanyika Mzumbe Main Campus ila taarifa kwamba kuna ajali imetokea zilianza kusikika mida ya saa tatu usiku kwamba kuna ajali maeneo ya Mindu(eneo hili lipo barabara kama unaelekea Iringa),

2. Kituo cha polisi wanasema habari si za kweli.

4. MODS naomba hii topic ifutwe na ile ingine inayofanana na hii.
habari hizi bado kuthibitishwa.samahani kwa waliokwazika
namshukuru Mungu kuwa shetani hajafanikiwa kazi yake​
 
ni hatari maisha ya mwanadamu ni kama mauwa. nakusanya taarifa zaidi.
 
Tukusanyie mkuu,mdogo wangu nnae fatana nae ame graduate leo hapo ngoja niendelee kumtafuta.
 
mkuu mbona unatupa taarifa nusu nusu!
walikuwa kwenye daladala au usafir binafsi?

ajali imetokea maeneo gani?
 
ni usafiri binafsi mkuu
habari kamili zitapatikana ngoja tupate details zaidi
mimi siko Morogoro kwa sasa
mkuu mbona unatupa taarifa nusu nusu!
walikuwa kwenye daladala au usafir binafsi?

ajali imetokea maeneo gani?
 
SIKUELEWI; Neno leo ndio nini? Tutajie Tarehe na Saa. Fafanua vizuri eneo la ajari; ni Mzumbe na Morogoro Mjini au ni Mzummbe na Mkoa wa Morogoro? Tueleze ilikuwaje?
 
Imetokea kati ya Mzumbe na Morogoro.majina na habari kamili zitawajia punde
yasemekana wote ni wa kike

Nami nimetoka huko kwenye mahafali..nasaka taarifa kwa undani zaidi ila nimeambiwa ajari imetokea eneo la Mindu lililopo Iringa road. Kwa taarifa zozote ntawajuza
 
Poleni wote waliokumbwa na msiba! NO ONE CAN PREVENT DEATH TO OCCUR BUT WE CAN AVOID DEATH ISITOKEE!
 
Mi sielewi kitu maana sijaona habari kamili hapa ni tetesi tupeni habari iliyo kamili!:confused::confused::confused:
 
Back
Top Bottom