Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla ya Mangula kuitwa na mtandao wa Membe tayari alikuwa katika tope la Rushwa ambapo alijhusisha na mtandao wa Waziri Gerson Lwenge ambaye tuhuma zake zipo PCCB Njombe. Hata hivyo...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Kwakweli hawa watu nawachukia sana ndani ya moyo wangu wote. Hospital ya serikali ,vitanda vya serikali, dawa za serikali + mnalipwa pesa nzuri tu . BADO MNATAKA RUSHWA TENA KWA WAGONJWA...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu. Mtoto Gifti anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 7 mkazi wa Yombo,Buza,Temeke.Dar amecharangwa na mapanga na baba yake mzazi baada ya mtoto huyo kujaribu kuamlia ugomvi kati ya baba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakimbizi wa kambi ya Mtabila iliyoko wilayan Kasulu wako wanafanya vùrugu kubwa zoezi la kufunga kambi za Warundi limeanza miezi 3 iliyopita. Ilikuwa imebaki kijiji <zone A> ili kambi ifungwe...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mh Nimekusikia Ukiongea kuhusu wachimbaji wadogo wadogo,pita katika maneno yako.Tumeona Mwabomba Kahama mzungu amechimba takribani miaka 2 hakuna chochote katika maendeleo lakini tumeona baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aisee ukitype neno illuminati kwa kugeuza na kuweka .com inakupeleka website ya serikali ya marekani-ulinzi..... Type itanimulli.com ujionee
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unajua unaamka alfajili kwa ajili ya kuwahi flight ya 7.10am, unahamaki labda umechelewa unaamua kuendesha mwenyewe ukihisi anayekuendesha ajui Kama umechelewa. Unapark haraka unacheckiwa na...
0 Reactions
116 Replies
10K Views
Nimeona katika M-pesa kuna namna ya kudeposit pesa katika bank tofauti(CRDB/ACB na AMANA) na kupata electronic deposit slip..kwa nchi hii ambayo maadili yamemomonyoka na uhalifu wa kimt andao...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Umekua ukisikia mara kwa mara vituko vya uwanja wa ndege wa JKN kuanzia kuibiwa , kusachiwa kwa baadhi ya abiria , kulaghaiwa na aina nyingine nyiingi sana za uharamu ndani ya uwanja huo kutokana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WASICHANA wa eneo la Nzovwe, jijini Mbeya wametuhumiwa kushinda katika klabu za kuuza pombe za kienyeji, hasa nyakati za usiku na kufanya mapenzi na wanaume zaidi ya mmoja kwa siku kwa tamaa ya...
1 Reactions
8 Replies
25K Views
Nimepita maeneo ya Airport Mbeya kuna mtoto ametupwa kwenye jalala lililopo kando ya barabara inayotoka mafiat kuingia airport. Watu wamejaa na mtoto amekutwa amekufa. Update zitakuja after time.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii community airline iko wapi? Au ni matunda ya pesa chafu? Ama wamefulia kabla ya kuvaa?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
:A S-baby:Kwa mdomo wako wewe mwenyewe na bwebwe nyingi uliongelea kwa kirefu matatizo yanayoikabili TTCL na ulitamka bila kusita kuwa uongozi unachangia na ukawataja kwa vyeo nafasi mbili ndani...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi,wamevamia gari lililokuwa linasafirisha maiti kutoka mjini Morogoro kwenda mkoani Mara kisha kupora takriban Sh19.8 milioni walizokuwa nazo waombolezaji...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwa miaka kadhaa hapa Tanzania imekuwepo sheria ya Mabasi ya Abiria kutotembea usiku. Sheria hii inavyoonekana ipo hapa Tanzania tu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati na imekuwa kikwazo...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
A five-month-old orphaned elephant named "Tembo" plays with his keeper Thomas Chalice, who has nurtured the elephant at Tony Fitzjohn's Mkomazi rhino sanctuary on June 19, 2012 in Mkomazi...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamaa ni mpambanaji ktk maisha, ila game la siasa ameliotea tu.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanuswa kwapa kama mahojiano Huko ni China. Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia viongozi wakiugua au wenye uwezo wanapanda ndege faster na kuelekea kwenye hospitali ya rufaa, yaani INDIA. Hohehahe kama mimi iinategemea kama Reginard Mengi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aitoa hii statement sasa hivi akifanya kipindi cha jahazi
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom