Black skin inrelation to iq

Penelope

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
715
635
Eti jamani hivi watu wenye ngozi nyeusi(esp sisi waafrika) tuna IQ (Inteligence quotient)(kipimo cha akili ama werevu kwa binadamu)sawa na wenzetu??..Unajua hua najiuliza wenzetu wana kitu gani cha ziada ambacho kinawafanya wagundue vitu vingi tangu miaka hiyo ya zamani na kuviendeleza kila siku na kuvifanya viwe bora zaid kila miaka inapoenda,,sisi tu tunatumia,kuna sababu?zipi?mawazo yenu tafadhali
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,660
1,772
Akili ni ileile ila sisi ni wavivu wa kufikiri ndio maana vitu vingi vinatushinda. Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake na kwa vile Mungu wetu ana akili ya ajabu alimpa binadamu hiyo akili. Tatizo ni jinsi gani tunatumia hii akili aliyotupa Mungu!!!
 
Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,377
1,794
Nafikiri, nafikiri.Ngozi nyeusi ilishalaaniwa na Muumba. Ilichojaaliwa ngozi nyeusi ni kupiga na kucheza ngoma tu.
 
Black ma colour

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
733
660
tuna akili sawa but in case of iq we are differ from sm1 2 anothr. envt, life in general, matatizo ya hapa na pale yanaweza kujenga au kubomoa iq ya m2. bt under the sun all we are de sm
 
Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,543
15,733
Kwa kuwa Afrika ni bara lenye rutuba na hali ya hewa nzuri,watu wake waliishi kwa raha bila kufiri sana.Ukame na hali ya hewa ndo iliyowafanya watu wa mabara mengine kufikiri sana ni jinsi gani watajikomboa kutoka na matatizo waliyonayo.
Na hii ndo iliwafanya wagundue mambo mengi wakati africa watu walikuwa wanaishi kwa raha mustarehe tu.
Si kweli kwamba ngozi nyeusi ndo tatizo.Na chukia sana kuniambia kwasababu mimi mweusi ndo nimelaaniwa.
 
Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
336
Akili ni ileile ila sisi ni wavivu wa kufikiri ndio maana vitu vingi vinatushinda. Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake na kwa vile Mungu wetu ana akili ya ajabu alimpa binadamu hiyo akili. Tatizo ni jinsi gani tunatumia hii akili aliyotupa Mungu!!!

Hatukupewa vichwa kwa ajili ya kufugia nywele, bali kuvitumia kufikiri-Jaji Frederick Werema (AG)

Sisi Waafrika vichwa ni vya kufugia nywele tu!!
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
4,923
4,253
Akili ni ileile ila sisi ni wavivu wa kufikiri ndio maana vitu vingi vinatushinda. Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake na kwa vile Mungu wetu ana akili ya ajabu alimpa binadamu hiyo akili. Tatizo ni jinsi gani tunatumia hii akili aliyotupa Mungu!!!

kama wewe ni mvivu wa kufikiri maana yake ni kwamba IQ yako haitoshi, sio kwamba hauna akili unazo bali hazitoshi kiwango chake ni kidogo kulinganisha na wasio wavivu wa kufikiri! Ndio maana ya IQ, na ndio maana huwa kuna test zinafanywa!
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
4,923
4,253
Kwa kuwa Afrika ni bara lenye rutuba na hali ya hewa nzuri,watu wake waliishi kwa raha bila kufiri sana.Ukame na hali ya hewa ndo iliyowafanya watu wa mabara mengine kufikiri sana ni jinsi gani watajikomboa kutoka na matatizo waliyonayo.
Na hii ndo iliwafanya wagundue mambo mengi wakati africa watu walikuwa wanaishi kwa raha mustarehe tu.
Si kweli kwamba ngozi nyeusi ndo tatizo.Na chukia sana kuniambia kwasababu mimi mweusi ndo nimelaaniwa.

Sababu zako hazitoshi, Waarabu je utawaelezea vipi? mbona wana mazingira kama yetu? Kuna nchi nyingi tu ASIA tunafanana sana (nchi za kitropiki) kimazingira lakini hawako kama sisi, unailezea vipi hilo?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
4,923
4,253
Nafikiri, nafikiri.Ngozi nyeusi ilishalaaniwa na Muumba. Ilichojaaliwa ngozi nyeusi ni kupiga na kucheza ngoma tu.

Umesahahu kitu kimoja, NGONO!, na ukitaka kulithibitisha hilo angalia hoja zinazohusu ngono humu zinavyopata washabiki ukilinganisha na hoja zingine ambazo jamii nyingine wangeziona za muhimu zaidi!

enfuka nkulu

Member
Dec 4, 2012
48
4
ai kwie ya waafirika iko juu sana. ila inatumika katika uharibifu. ufisadi kama epa, uswis money n.k. tafiti za ugunduzi zimefungiwa vyuoni ziliwe na panya, waataalamu wagunduzi hawatuwasaidii wala hatuwaenzi, watengeneza magobore tunawapoteza fasta badala ya kuwatumia vizuri, dawa zetu nzuri za asili hatuzithamini tunataka za kichina na vidonge. viongozi hawatuelekezi vizuri tushindane na wenzetu.
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
4,923
4,253
ai kwie ya waafirika iko juu sana. ila inatumika katika uharibifu. ufisadi kama epa, uswis money n.k. tafiti za ugunduzi zimefungiwa vyuoni ziliwe na panya, waataalamu wagunduzi hawatuwasaidii wala hatuwaenzi, watengeneza magobore tunawapoteza fasta badala ya kuwatumia vizuri, dawa zetu nzuri za asili hatuzithamini tunataka za kichina na vidonge. viongozi hawatuelekezi vizuri tushindane na wenzetu.

Sio kweli! Labda unamaanisha kitu kingine lakini sio IQ (intelligence quotient), hayo yote ulio yaorodhesha kama mapungufu ndio ukweli kwamba IQ iko chini ~ 70, wakati jamii nyingine ziko kuanzia >90 na kuendelea, na ndio maana hatuna uwezo wa kujua ni nini muhimu na sio muhimu katika maisha na kujenga jamii iliyo na mpangilio! kitu ambacho ndio nguzo ya IQ testing, uwezo wa kutofautisha kitu muhimu na kile kile ambacho sio muhimu sana, kwa maana nyingine vitu gani binadamu anavipa kipaumbele katika maisha yake, ndio maana ya IQ testing!

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
9,570
11,946
Umesahahu kitu kimoja, NGONO!, na ukitaka kulithibitisha hilo angalia hoja zinazohusu ngono humu zinavyopata washabiki ukilinganisha na hoja zingine ambazo jamii nyingine wangeziona za muhimu zaidi!

Ayaaaaaaaaa! Kwahiyo ndio unasemaje?
 
kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,953
936
Kwa Kuwa wote NI maskini na wajinga anayetangulia anawadharau wenzake na kuwaibia. Kazi Kuweka taratibu zisizo wazi.
No humanity.......... Nashindwa nimalizie vipi. Naishia........:flock:
 
enfuka nkulu

Member
Dec 4, 2012
48
4
Sio kweli! Labda unamaanisha kitu kingine lakini sio IQ (intelligence quotient), hayo yote ulio yaorodhesha kama mapungufu ndio ukweli kwamba IQ iko chini ~ 70, wakati jamii nyingine ziko kuanzia >90 na kuendelea, na ndio maana hatuna uwezo wa kujua ni nini muhimu na sio muhimu katika maisha na kujenga jamii iliyo na mpangilio! kitu ambacho ndio nguzo ya IQ testing, uwezo wa kutofautisha kitu muhimu na kile kile ambacho sio muhimu sana, kwa maana nyingine vitu gani binadamu anavipa kipaumbele katika maisha yake, ndio maana ya IQ testing!

ili kuepusha mgogoro unaelewaje kuhusu iq . tafsiri rahisi inatoka MACMILLAN ENGLISH dICTIONARY "a no. that represents a personal intelligence based on the result of perticular type of test" upo hapo
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
4,923
4,253
ili kuepusha mgogoro unaelewaje kuhusu iq . tafsiri rahisi inatoka MACMILLAN ENGLISH dICTIONARY "a no. that represents a personal intelligence based on the result of perticular type of test" upo hapo

Hauhitaji kuangalia dictionary ili maana ya IQ testing, kwa maana IQ testing haihusiani na lugha ya kiingereza! sasa kama sijui kiingiereza, hiyo dictionary ya kiingereza itanisaidia nini?

Kwa kifupi IQ testing, ni testing ambayo huwa inafanywa kupima uwezo wa mtu wa kufikiri katika nyanja mbali mbali na wala haihusiani na lugha ya kiingereza, unaweza ukaifanya kwa Kiswahili au hata kiieritrea ukitaka, na mara nyingi kinachopimwa pale ni uwezo wako na uharaka wako wa kuweza kufikiri, na ndio maana huwa kuna maswali mbalimbali mengine yanaangalia tu kama una uwezo wa kuto jibu la swali fulani la hisabati na unatumia muda gani kutoa jibu, au maswala ya kijamii uelewa wako, kwa mfano wewe unataka kuwa Polisi lakini una uwezo mdogo wa kufikiri, mfano huwezi tu labda kujua ukiwa na watoto 200, 10 kati yao ni wanawake, je asilimia ngapi ya watoto ni wanawake?

kama huwezi hilo maanake yake huna uwezo wa kufanya hiyo kazi, lakini unaweza ukapewa nyingine ya chini yake kulingana na uwezo wako (majibu ya IQ testing yako), ukilipuuzia hilo matokeo yake ndio hayo Polisi wanapiga watu risasi kila siku bila ya sababu ya msingi, kwa nini? Kwa maana hawana uwezo kwa kufikiri katika ngazi ambayo inakubalika au Polisi anapaswa kuwa nayo, kwa maana nyingine hawakupaswa kuwa Polisi kwa kuanzia! na kuendelea....

Nomile

Member
Dec 5, 2012
99
122
sawa mkuu ni kwamba akili zipo tatizo mnazitumiaje, Mfano nchi hii primary karibu zote hazina madawati lakini kila kitu kinachohitajika ili kupata dawati kinapatikana hapa swali ni kwa nini basi hatuna madawati? akija mzungu akaweka mikakati ya namna ya kuvuna miti na kutengeneza dawati na kuyasambaza katika shule zote je si ataonekana ana akili? lakini kipya hapa ninini? technologia au nia?
 
MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Waafrika hawajapata shida vyakutosha maana wangepata akili kubwa nawao.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,646
4,481
IQ inatestiwa kwa kuangalia uwezo wa mtu kutatua mambo ya papo kwa papo na uwezo wa kutumia learned things kujikwamua. Kuna mambo ambayo mtu unakutana nalo tu ila linatakiwa lipatiwe suruhisho la haraka na mengine ndo yale tunayoelekezwa kila siku ili kuyatumia. Sasa waafrika tulifanywa tegemezi tangu wamekuja wakoloni ndo maana hatuna uwezo tena wa kutatua matatizo yanayotukabili ila kuomba misaada ndo suruhu yetu. Wapo wachache wanaojikwamua ila ndo hizo mazingira ya utegemezi yalishawekwa na itafanyika kila namna kuwakwamisha. Pia babu zetu si walikuwa na viwanda vya silaha za uwindaji ambavyo vilikuwa vinaboreshwa lakini vikauawa na wakoloni ili tuwategemee wao. Kuhusu learned things ndo hivyo tunafundishwa vitu visivikuwepo kwenye mazingira yetu ko hata utilization inakuwa poor. Na kizazi cha leo ndo wanafikiria kuiba na starehe tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom