Hakika Tuache Kupeana Mikono Tunaposalimiana-Yamenikuta

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,770
2,709
Leo asubuhi nimeteremka kituo cha Palm Beach, nikatoa nauli yangu kwa konda Tsh 2000/= Wakati nikisubiri change mbele yangu nawaona watu wawili wakiniangalia sana. Nikapokea change yangu na wakati nikiiweka mfukoni mmoja wao ananisemesha Nipe mia tano ya gazeti, kisha "Habari yako, za siku nyingi huku akinipa mkono. Nikampa mkono. Akaendelea kuniuliza "Vipi uko makao?" Wakati akiniuliza kama niko makao huku kanishikilia mkono ghafla nilianza kusikia kizunguzungu na kusikia kichefu chefu, nikajihisi akili zinaanza kama kuniruka. Hakika nilichofanya ni kutoka mbio nikiwa hoi ndani ya sekunde. Jamani nadhani itafika muda hatutasalimiana kwa kupeana mikono. Haya yamenikuta leo asubuhi.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,937
9,716

Pole sana Bubu Msemahovyo!!! Nataka na wengine wajue kuwa hata siku moja usikubali eti mtu anakusimamisha anakuuliza maswali, wengi wao ni kama hao uliokutana nao leo. Huwa natoka baru tu, siangalii wala sisikii maana Tz imeharibika sasa!! Nilikutana na binti mmoja maeneo ya fulani Dar analia sana nikamuuliza kulikoni akasema alikutana na watu wakamsemesha mwishowe akatoa kila kitu. Kwa hiyo alikuwa analilia simu yake.
 
Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,729
4,581
kuna mahali huyo jamaa alikosea katika mtiririko ukagutuka....hypnotization ilitaka kufanyika...pole
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,998
1,156
Leo asubuhi nimeteremka kituo cha Palm Beach, nikatoa nauli yangu kwa konda Tsh 2000/= Wakati nikisubiri change mbele yangu nawaona watu wawili wakiniangalia sana. Nikapokea change yangu na wakati nikiiweka mfukoni mmoja wao ananisemesha Nipe mia tano ya gazeti, kisha "Habari yako, za siku nyingi huku akinipa mkono. Nikampa mkono. Akaendelea kuniuliza "Vipi uko makao?" Wakati akiniuliza kama niko makao huku kanishikilia mkono ghafla nilianza kusikia kizunguzungu na kusikia kichefu chefu, nikajihisi akili zinaanza kama kuniruka. Hakika nilichofanya ni kutoka mbio nikiwa hoi ndani ya sekunde. Jamani nadhani itafika muda hatutasalimiana kwa kupeana mikono. Haya yamenikuta leo asubuhi.
Pole sana Bubu Msemaovyo. Vipi hali yako hivi sasa ikoje? Uliwezaje kujirudisha katika hali ya kawaida baada ya kcuhomoka kutoka katika gari?
 
Last edited by a moderator:

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,100
aKILI yako tu ndio ilikutuma hivyo! Scientifically hakuna kitu kama hivyo! Marurue yakiendelea kamwone dk

acha upuuzi kama huju kaa kimya wizi wa namana hiyo upo sana yaani ukiongea nae mda tu au ushikane mkono fahamu zote zina kuishia na kuanzia hapo hutojitambua..
 
HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
46,023
46,998
Mimi hayo mambo nilisha achana nayo mambo ya kusaidia watu,kuwapa lift,kuongea nao hata kama wanashida huwezi jua maana siku hizi watu hutumia shida ili kukuibia au kukupumbaza.
Ilishasemwa kuwa siku za mwisho upendo wa wengi utapoa.
Hapa JF hii ni kitu ya tatu nasikia kutoka kwa watu tofauti
 
nyabaheta

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
247
76
Leo asubuhi nimeteremka kituo cha Palm Beach, nikatoa nauli yangu kwa konda Tsh 2000/= Wakati nikisubiri change mbele yangu nawaona watu wawili wakiniangalia sana. Nikapokea change yangu na wakati nikiiweka mfukoni mmoja wao ananisemesha Nipe mia tano ya gazeti, kisha "Habari yako, za siku nyingi huku akinipa mkono. Nikampa mkono. Akaendelea kuniuliza "Vipi uko makao?" Wakati akiniuliza kama niko makao huku kanishikilia mkono ghafla nilianza kusikia kizunguzungu na kusikia kichefu chefu, nikajihisi akili zinaanza kama kuniruka. Hakika nilichofanya ni kutoka mbio nikiwa hoi ndani ya sekunde. Jamani nadhani itafika muda hatutasalimiana kwa kupeana mikono. Haya yamenikuta leo asubuhi.

Pole sana kwa yaliyokukuta,na hongera kwa kuchukua uamuzi wa kukimbia,wizi wa aina hii umeshamiri sana jijini, na kuna nakala moja ya gazeti la mwananchi wamewahi kuripoti matukio ya wizi wa aina hii.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,100
Pole sana Bubu msemahovyo tukio hilo lilimtokea mfanyakazi mwenzangu bahati nzuri hakuwa na pesa zaidi ya 10000 kwani alikutana nao akitoka ofisini kwenda kupata chakula cha mchana hivyo hata simu alikuwa ameacha ofisini alikuja kupata fahamu saa kumi jioni akiwa umbali wa KM zaidi ya 7 kutoka alipopeana mkono na waizi hao..
 
arinaswi

Senior Member
Sep 25, 2010
183
94
aKILI yako tu ndio ilikutuma hivyo! Scientifically hakuna kitu kama hivyo! Marurue yakiendelea kamwone dk

Tafuta the science of hypnosis au kama una rafiki daktari umuulize kuhusu hypnosis kwenye psychiatry then you will realise that at times you do not know everything. By the way, uchawi na mambo mengine spiritual huwa science haiwezi sana kuyaeleza ila pia science cannot refute them so be cautious when uttering matters in public.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Top Bottom