Msama,upo wapi kazi za wasanii zinaibiwa!

Msama,upo wapi kazi za wasanii zinaibiwa!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Salaamu sana wakuu,katika pitapita zangu hapa mwanza nimeshuhudia mitaa mbalimbali wameweka vibarazani kompyuta na wana buny cds wanajaza nyimbo kwenye flash,kali zaidi kuna mtaa flani lumumba uchochoro wa dr Kulwa kuna kompyuta zaidi ya 9 wote wanafungulia sauti imekuwa full kero,wasanii wanaibiwa kazi zao Msama njoo uwaokoe!
 
Kwa msama ndo mahakama, polisi, etc. Wewe uliyeona tukio hilo umechukua hatua gani au umebaki kuachama tu.....
 
Msama mwenyewe aliiba ndiyo kafika hapo alipo tulishamkamata aliuza kazi za watu siku za nyuma
 
Kwa msama ndo mahakama, polisi, etc. Wewe uliyeona tukio hilo umechukua hatua gani au umebaki kuachama tu.....
aende mahakamani kufanya nini!!!hatua aliyochukua si hii kuleta hapa au wewe unataka achukue ipi!!
 
Msama mwenyewe aliiba ndiyo kafika hapo alipo tulishamkamata aliuza kazi za watu siku za nyuma

Maelezo kamili tunataka na ushaidi wa hayo unayosema mkuu
 
Back
Top Bottom