CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Jamani huwa najiuliza hawa wanasiasa wanayoyafanya duniani ya kukandamiza watu na hadaa tele, wanapokufa wanakwenda wapi. Maana kwa shetani hawawezi kwenda, na yeye pamoja na kuwa ni mwovu, lakini wao wamezidi.
Naona halaiki wanasisitiza kiswahili, watoto wao wako Ulaya wanasoma kiingereza, watoto wanapiga kwata na sarakasi, wakwao wako ulaya wanasoma kuja kuwa watawala!
Naona halaiki wanasisitiza kiswahili, watoto wao wako Ulaya wanasoma kiingereza, watoto wanapiga kwata na sarakasi, wakwao wako ulaya wanasoma kuja kuwa watawala!