Msaada juu ya kuandaa muswada wa kurusha kipindi katika televisheni


Mwanakanenge

Mwanakanenge

Member
Joined
Nov 25, 2012
Messages
72
Points
95
Mwanakanenge

Mwanakanenge

Member
Joined Nov 25, 2012
72 95
Habari za leo wana jamii,
Naomba msaada wenu juu ya kuandaa muswada(proposal) kwa ajili ya kuandaa kipindi ambacho kitarushwa katika televisheni.
Pia mambo ya muhimu ya kuzingatia katika hiyo proposal na mengineyo ambayo kwa njia moja au nyingine yana mchango.
Nahitaji msaada wenu katka hili.
 

Forum statistics

Threads 1,285,692
Members 494,726
Posts 30,870,375
Top