Vijana, tabia hii ni mbaaaya.

Vijana, tabia hii ni mbaaaya.

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Angalia wanaume dizaini hizi
1 suruali nusu mlingoti
2 nywele kaweka dawa kama
mwanamke
3 amesuka kama mwanamke
4 akitembea kama kalemewa na begi la primary
5 analamba mkorogo full
carolite na vingine vingi tu
6 ametoga sikio
7 anaongea kwa kubana pua
kama mtoto wa kike aliye kwenye hatua za makuzi
8 akitembea boxer yote ipo nje
yani zote ni dalili za ushoga na
si kila kitu cha mamtoni
kinafaa kuigwa jamani vingine
kule ni kiwakilishi cha tabia fulani mfano kwa wanaotoga
maskio ni mashoga. siku za
mwisho hizi kwani wanaume
wanafanya matendo ya
wanawake na wanawake
wanafannya matendo ya kiume. BADILIKA USIJE UKAJUTIA
MATENDO YAKO
 
Aisee hapa dar kuna kitu kinaniuzi watu kuacha box zao nje daa najiskia kunyaa sana nikiona
 
nawewe unataka wanaume wajistiri kama wanawake, afuu mikoa ya mwambao wa Tz wanaume wengi wanatabia ya kujichubua na ushoga
 
Ukweli huu kama mtoto wa kiume anaweza kuthubutu kuacha **** nje, ni dhahili **** **** hili limeachwa wazi ili lionekane wahitaji kwa maana ya DISPLAY na sivinginevyo
 
Vijana mmeskia?Hacha hizo.Ni ubustani.Eti ni Usharobaro wanasema!Mtakosa wadada wa kuweka ndani kwa ajili ya Ulimbukeni.
 
Hiki kizazi cha nyoka kinasubiri mtu afufuke kutoka wafu ili kipate kubadilika. Sijui taifa litakuwa na kinababa wa aina gani.
 
heri uwaambie mambo gani haya mwanaume sura ngumuuuuu umesuka? Mboxer wengine mchafuuuuu uko nje(hata kama safi unamuonyesha nani?)
 
Waambie mwanangu. Maana wanavyoonyesha vitako vyao wakitokewa na mabasha wanaanza kurusha ngumi. Mnatangaza nini kama siyo kutaka watu wa kuwabaka? Hii tabia inanisikitisha. Ajabu Mombasa hakuna vijana wanaovaa sag maana watashughulikiwa mtindo mmoja. Tungesema sisi wazee wangesema tumepitwa na wakati wao ndiyo wamekimbiwa na wakati kutokana na kutotumia vichwa kufikiri badala yake wakaingiza kila upuuzi.
Angalia wanaume dizaini hizi
1 suruali nusu mlingoti
2 nywele kaweka dawa kama
mwanamke
3 amesuka kama mwanamke
4 akitembea kama kalemewa na begi la primary
5 analamba mkorogo full
carolite na vingine vingi tu
6 ametoga sikio
7 anaongea kwa kubana pua
kama mtoto wa kike aliye kwenye hatua za makuzi
8 akitembea boxer yote ipo nje
yani zote ni dalili za ushoga na
si kila kitu cha mamtoni
kinafaa kuigwa jamani vingine
kule ni kiwakilishi cha tabia fulani mfano kwa wanaotoga
maskio ni mashoga. siku za
mwisho hizi kwani wanaume
wanafanya matendo ya
wanawake na wanawake
wanafannya matendo ya kiume. BADILIKA USIJE UKAJUTIA
MATENDO YAKO
 
Kizazi cha fleva inabidi kichomwe moto chote kwani hamna tendo hata moja walifanyalo liko positive. In short, they are lost!
 
duh ... kweli vijana tumezidi ... tuache tabia hii
 
Tabia mbaya sana lakin hawawez kuelewa..wenyewe ndo wanaona wapo up-to-date.... Halafu wengi wanaofanya hako kamchezo hawapo JF tafadhal tufikishien ujumbe jaman kwa vijana wenzenu..
 
hapa kazini kwetu kuna kijana kwa ajili ya shule yake akapewa ukuu wa kitengo, akaanza mara nusu mlingoti mara kuvaa pensi, mara begi la kompyuta mgongoni, madiwani wakampiga stop asiingie kwenye vikao vyao na kitengo kimeota mbawa...nakubali mkuu tatizo ni kubwa.
 
Nashauri kuwe na special task force kuwashughulikia hawa wappumbavu. wanatuharibia watoto wetu. sheenzi kabisa
 
hata vyuoni wapo! kuna vijana wanajichubua sana, yaani wamekuwa pepsi mirinda(usoni mirinda, mikono na miguu pepsi)
 
Back
Top Bottom