Mashabiki wengi wa bongo linapokuja suala la kupiga kura wanaangalia ushabiki na kuuacha ukweli, nikisikiliza lyrics za Moyo mashine wa Ben Poh nikilinganisha na lyrics za Aje wa Alikiba napata...
Phillip anaamka asubuh na kujinyoosha kitandani. Ni saa 10 na nusu Alfajili, muda ambao kila siku ya kazi huamka. Muda huu usingizi huwa unakuwa mzuri sana kuliko saa nne usiku au tano na kuliko...
Hawa jamaa enzi wakiwa EATV, wamama wengi sana walikuwa wanaunguza mboga! Ni namna tu walivyokuwa wanakonga roho za watu. Ikifika Alhamis, watu wakawa wanaacha mambo mengine na kujongea karibu na...
iTunes Link: Marry You (feat. Ne-Yo) - Single by Diamond Platnumz on Apple Music
*******.............................................................................*******
Nakumbuka kuna...
Hawa Jamaa wanakuja vizuri na michezo yao inachekesha + mafunzo
Mfano mchezo Wao wa leo jumapili kwa mlioshuhudia Wale akina Masanja wamebaki umaarufu tu,so kama walivyokuaga Eatv na pia...
Mimi siyo mzuri, sina uelekeo,sipo kisasa yote hayo ni kweli,lakini nani aijuaye kesho yake?hakuna MUNGU pekee ndiye muweza wa yote.
Nawashukuru sana walioendelea na bado wanaendelea kunipigia...
1. Joh Makini ft. Chidinma - Perfect combo
2. Darasa ft. Ben Pol - Muziki
Kwa mwaka 2016 kwangu hawa jamaa ndio waliofanya vizuri. Salute jamani, salute tena na tena.
Wimbo unaosubiriwa kwa hamu wa Diamond Platnumz -Marry You ft Ne-Yo tayari upo iTunes. Tupende vya kwetu, tussupport juhudi za Diamond kwa kununua huu wimbo iTunes.
Link:: Marry You (feat. Ne-Yo)...
Natumaini family ya jamii forum muko powa.Kama kawaida yetu ya kujadili maada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya KTZ.Vifurushi vya sikuizi ni chaguo la watu koz mitandao karibia yote inawajali...