Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jaman kwa yeyote anaefahamu live bend ipi nzuri na itakua wap leo jumatatu ya maulid
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Hii tamthilia niliwahi kuiona zamani TBC tangu nipo primary, niliipenda sana na nakumbuka enzi zile ilikuwa inaonyeshwa iliwateka watu wengi sana na ilikuwa gumzo kubwa. Nilipopata Smartphone...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muziki ni sanaa kama sanaa zingine yenye lengo la kufundisha,kuburudisha,kuhamasisha,kukosoa n.k..ukisikiliza wimbo kuna baadhi ya lines katika wimbo huo zikakuvutia kwa namna moja au nyingine...
3 Reactions
49 Replies
30K Views
Unakumbuka nini mwana JF??? Mimi nimewahi kutoa dozi kwa vijana 6 hadi nikapelekwa kupimwa akili...!!!
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari members , yeyote mwenye link ya blacklist tajwa hapo juu naomba anisaidie , natanguliza shukrani .
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamaniii mwenye anajua namna naweza download tamthilia ya Bentihaa ya kihindi anisaidie
0 Reactions
1 Replies
7K Views
To be honest cjaona utofauti uliopo kati ya hizi eatv award na ktma labda jinsi ya kupata nominees ndo nimeona kuna ka utofauti kidogo lakini jinsi ya kupata mshindi naona wanarudia yaleyale ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za jumapili,kuna action movie moja ya kizamani kama kuna mtu atakuwa anajua jina lake naomba anitajie,maudhui yake ya ndani kuna kikundi wanajiusisha na utengenezaji wa mafuta ya mawese...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Hello guys, Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
habari za wiki end poleni na uchovu wa gwaride la uhuru day Naleta mada tushirikiane kuweka list ya mastaa ambao hawapo kistaa ie hawapendezi japo wanavaa, hawana mvuto wa kicelebrity, list yangu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashabiki wa sanaa nchini na Afrika Mashariki leo Jumamosi ya Desemba 10 watapata kujua wasanii wa muziki na filamu watakaoibuka washindi wa tuzo kubwa kuwahi kufanyika nchini na Afrika Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kesho ndio tarehe 10/12/2016 siku ambayo nimekua nikiwaza hili na lile kuhusu hii tarehe. Kuna vituo viwili vikubwa nchini Clouds Tv na Eatv. Eatv wamekuja na ubunifu mpya kabisa baada ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakika Msanii Mkubwa kama Diamond anapaswa kumwonea huruma Hawa yule aliyeimba nae wimbo wa "Nitarejea"Hawa ana maisha magumu mwonee huruma .
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Jamani naomba msaada wa kuzipata nyimbo za zamani zilizokuwa zinahimiza uzalendo mf. Kijana uwe tayari na nyingine mnazozifahamu. Au kama kuna link yoyote ninayoweza kuitumia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta monitor speaker zile ndogo kwa ijili ya home studio. Mwenye anaweza kunipa info anichek plz.
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Ukweli kuwa kila mtu hivi sasa akifanikiwa katika kidogo katika mziki anawaza kuanzisha lebal na studio mfn allykiba,diamond,barnaba,cristian bella,banana zolo n.k. naomba kujadili au niulize je...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Guys kwema Hivi kweli wataalamu na waandaaji wa muziki mziki wa Singeli uko kwenye kundi gani? As in Jazz,Rock,Pop,Hiphop,Reggae,Rhumba,tchatcha? Maana ile speed ya BT na speed ya uimbaji...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Siku hizi ukienda kuban CD za Bongo movie unaambiwa hamna lakini D jay Maphia zinapatikana, sijui watafanyaje au kanumba alidead na fani hii?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna huu wimbo " MATATIZO" japo si mtalaam wa nyimbo lakini naupa nafasi ya kuwa wimbo bora 2016. 1. ujumbe mzuri 2. Story ya wimbo imetulia. 3. Wahusika wamebeba vyema ujumbe wa wimbo ...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Back
Top Bottom