Ushahidi Wa Kweli Followers & Viewers Wananunuliwa.

Ushahidi Wa Kweli Followers & Viewers Wananunuliwa.

Melvine

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
719
Reaction score
1,385
Kwanza kabisa naweka swala ilo sawa,chini ni email inayoonesha kwamba kuna watu wana'deal na biashara ya Kuboost FOLLOWERS on Instagram lakini kuchukua iyo evidence naamini kabisa basi hata mtandao wetu pendwa wa YOUTUBE basi hata VIEWERS wananunuliwa pia.


PKP alimashutumu CHIBU kwa tuhuma hzo za manunuzi ya Viewers wa Youtube na akasema kwa kupaza sauti ikiwa na maana kwamba anajua ukweli.

Inshu ikaenda mbali Mwakilishi wa YOUTUBE wa EastAfrica (kama sikosei) akakanusha kwamba ilo swala halipo.
Ukisikiliza na kuangalia utajua kuna vitu anaficha.

Ebu Tazama hii ScreenShot ya email niliyotumiwa (hii chukua kama ni ushaidi wa picha)

IMG_1483828579.923929.jpg

IMG_1483828617.856470.jpg

IMG_1483828635.889390.jpg


NB:
Mim sijui ukwel ni upi kati ya aya mambo ila Mungu anawaona kwa wizi wao wa akili zetu na utashi wetu kuona kana kwamba wanapendwa kumbe la!

Bye.!
 
mh hii ya kununua followers insta mbna ipo sana tena siyo insta mpak twitter,fb ndo kabisa yani likes watu mpak 2k mtu wa kawaid ana pata ujanja wako tu..... kuhus viewers youtub wasanii wengi wamambele na bong wanafany hiz inshu kuna kipind ne-yo alishawahi kuchtumiw kuhus hii mishe na youtub hata sijui iliichia wapi....cha msing ni kusupport vya nyumban na kuwap moyo wasanii wetu ili wasiwe na mawazo machafu km haya ambayo baadae yata waharibia status na kuwarudisha nyuma kiasi flan.......leo mmewataj wcb lakn kuna wasanii wengne ambao fyekeo la kufung acc likipita litawapitia pia......tuwape moyo wasanii wetu na pia tuheshimu kazi zao ili waweze kutangaza nchi yetu huko mambele
 
Wajinga ndo wanaoliwa walipe uone kama hizo likes au followers kwa ig utapata au hao views utapata katika iyo video.
 
Nyie ndo mliokua mnaibiwaga nayale ma email ya wanaija, aasa mmebadilishiwa njia kidogo mshadanganyika. Tanzania ya vibanda
 
Hayo masuala yapo ila kwa WCB sidhani.
Kwani tayari diomd ana tuzo za You tube, wale ndio huwa wana jua nani kanunua na nani haja nunua, kwa hiyo lazima wali m verify diamond kabla ya kumpa pongezo hilo. Justine bieber aliwahi kamatwa akapunguziwa views mwaka 2013 na Ne Yo pia
Ukitaka kugundua mtu ana nunua views angalia kwa makini mambo yafuatayo.
1.Muda wa views, unakuta kajitu hata hakajulikani ila 9 minutes kana vews milion 1, lakini dimaond anafikishaga viewers milion 1 kwa wastani wa siku 3, kitu ambacho kina wezekana kabsa.
2. Angalia propotion ya vitu vifuatavyo views-likes-dislikes-comments
Mfano wimbo wa justine bieber wa sorry una vieweras bilion 2-likes 7M-dislikes-949 k-comments 639 k
Wimbo wa diamond -salome una viewers milion 11-likes 54k-dislikes 8k-comments 7k
Wimbo wa Ali Kiba, aje una viewers milion 5-likes 29k-dislikes 2k-comments 4k

Ukiangalia hizo propotions zinaenda sawa, mtu anaye nunua viewa mara nyimgi vitu hivo huwa haviendani kabsa, kwa sababu huwezi ku buys comments, na huwezi ku buy likes na dislikes na sja wahi skia hilo.
3. Angalia huyo mtu ana followers wangapi kuanzia IG. twitter, fb etc mfano haiwezekani leo darasa akatoa ghafla wimbo ukafikisha views milion 10 kwa sababu hana fans conmections hata za kufikia idadi hiyo kwenye mitandao ya kijamii. Angalia pia na subscribers wa youtube channel yake, mfano wakati alikiba ana subscribers kama 79 elfu tu, diamond ana subscribers laki 4 na zaid, Justin bieber ana subscribers milion 26. Hawa watu hawawezi kuja kufanana kwa views hata siku moja.
Wasanii waache kushikana uchwi wapige kazi mambo yatajipa tu

Kwa hiyo technically sidhani kama wcb wana nunua views, ila naamini mambo ya kununua views yapo sana tu.
 
Wakùu nisaidieni kuna kitu huwa kinanichanganya kuna time huwa nakuta notification 'this video is recomended for you ' hasa video mpya zikiwekwa YouTube ..imekaaje hii ??
 
Back
Top Bottom