Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Show ya Darassa mjini Moshi ilikuwa oversold, yaani tiketi zilinunuliwa zikaisha kwa kuwa waandaaji hawakutegemea kupata watu wengi kama ilivyotokea
Kwani analipwa kiasi gani,,? Na kwa maoni yako anastahili kulipwa kiasi gani,,?TATIZO NI KWAMBA HUYU KIJANA ANALIPWA PESA NDOGO
hapo sasa ngoma ikipotea anajkuta ala m15Kwani analipwa kiasi gani,,? Na kwa maoni yako anastahili kulipwa kiasi gani,,?
Kwani makao makuu ya CHADEMA yako Moshi mkuu?Aibu kwa chadema wanaoimba kila siku hamna pesa mfukoni
Aibu kwa chadema wanaoimba kila siku hamna pesa mfukoni
Basi sawaAibu kwa chadema wanaoimba kila siku hamna pesa mfukoni
Robot na robot mwenzieBila shaka wewe ni robot,kila uzi upo.
HaRobot na robot mwenzie