Mpigie kura dayna nyange umuwezeshe ashinde

hanscana

Member
Dec 21, 2016
13
2
Dayna nyange atajwa katika BAE kipengele cha best african act na vocal performance female

Best vocal performance female anachuana na ;

ARAMIDE "fun mi lowo"

NGOWARI "ebasitam"

ROCKNANA " swea potato"

DYNA NYANGE " ANGEJUA"

na best african act anachuana vikali na;

Eddy kenzo kutoka uganda, rabbit king kaka kutoka kenya,stoneboy kutoka ghana ,jah vinci kutoka jamaica na dayna nyange mwenyewe kutoka TZ

Tuzo zinatarajiwa kutolewa hivi karibuni nchini Nigeria

Kumpigia kura Dayna nyange tembelea website www.baeawards.com .Cc Dayna nyange

Pamoja tutashinda
 
nataka nifuatilie...hivi DIANA NYANGE Ni mdogo wake MAANGAZA NYANGE? Yule alieshindaga bongo star search mwaka 2008/2009?
 
Hizi tuzo za nje nazo sikuhizi zimekuwa yeboyebo, mtu ambaye hajawahi hata kuchukua tuzo locally naye anahusishwa
 
Aiseee Dayna Nyange tena?

Wametumia vigezo gani mbona wanatutafuta maneno hao majamaa
 
huyu dada anajitahidi sana hasa mwaka jana katoa track kama tatu kali sema tu watanzania hawajamuelewa ila kusema kweli anajitahidi na anafanya vizuri.
sijui aliwakosea nini watanzania..m
 
Anaimba nyimbo za namna gani.......?......
Weka moja ili tuelewe......
 
anajitahidi mwaka jana nyimbo zake kama
Angejua na komela ila ni mvivu kuzipigia promo nyimbo zake
 
Back
Top Bottom