Wana Janvi, Amani iwe nanyi. Kila nikikumbuka home nakumbuka wimbo wa hayati Che Mundugwao wa "Tumetoka kwetu Mahenge tumekuja Dar es salaam kucheza sindimba" kwa mwenye kuwa na huu wimbo atusaidie wana body humu JF kwani naimani wengi tungependa kuburudika nao. Hata kama ni kulipia, poa tu