mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
Jamani mimi ni mpenzi wa serious za kikorea ni site gani nitapata kudownload Korea drama. Plz.
Mpenzi niwekee link nakuombaDrama cool
Hizi ndo sites ninazotumia kwa sasa
1.Dramanice.at
2.Dramafire
3.Myasiantv
4.Kissasian
5.Dramacool
tumia PCHabari mkuu, katika zote hizo ipi naweza kuipata na kutumia kwenye ios device????