Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

*Looku Looku*[emoji102][emoji102] NAOMBA UVAE MBAVU ZA SPEA *_Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Nimekaa nimetafakari nikakumbuka wimbo wa Madee uitwao Hip Hop haiuzi, kiukweli ukitazama kwa kina utakuta ni kauli ya mtu aliekata tamaa na kitu anachokifanya na hii imefanya watu wengi wenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Thamani ya mwanamke ni mavazi Kula vizuri kulala vizuri Ndio siri ya kudumisha ndoa Utaishi kwa raha amigo Watoto wako wapeleke shule Kwa manufaa yao ya badae Elimu ndio zawadi muhimu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa kikongo bolingo watakua wanamfahamu vizuri huyu nguli asiyechuja kila mwaka Baada ya wanamuziki chipukiza wa kizazi kipya wa bolingo kuachia nyimbo zao kwa...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Msanii Young daresalama kaachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina FURAHA ngoma iko poa sana na official music video yake ni nzuri sana kafanya HANSCANA,video vixen kaonekana mrembo Tunda...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Naomba msaada wa kuweza kudownload movies pasipo kutumia utorrentz. Kwasasa naona hii utorrentz wameisitisha kwahiyo haifanyi kazi tena. kwahiyo naomba mwenye uelewa anisaidie nifanyeje
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Dubai Fountain ni moja kati ya vivutio vikubwa vya kitalii vikubwa Dubai na ni moja kati ya water fountain kubwa ulimwenguni. Dubai Fountain mara nyingi huchezwa nyimbo maarafu kama wa Whitney...
3 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu, Ni nyimbo gani zinabamba hadi sasa zinazofaa kukaa kwny top 10 chart ya mwezi Disemba? Pendekeza ili tuzifanyie rating. Kuna hizi (not in order): 1) Zigo Remix - AY ft Diamond 2) Aje -...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Je, ni kwamba mmoja kati ya Kusaga na Ruge wanakaribia kuchukua uteuzi katika serikali ya JPM? Kwa hiyo wameamua kuacha bifu ili waonekane vijana wazuri wasiozuia vipaji vya watz kukua? Just...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Msaniii hatari zaidi wa hip hop duniani J COLE soon ataachia album yake kali inayokwenda kwa jina la 4 your eyes only stay tunned..
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Hizi zote mbili ni nyimbo bora kabisa kutoka kwa mwaka huu.Alipotoa nyimbo ya wanandoto ya kala Jeremiah wengi waliamini kuwa kwa Hiphop mwaka umefungwa na Kala ila ujio wa darassa uliipoteza...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani naomba mnisaidie atakae kuwa na wimbo wa chuchu sound unaitwa marafiki
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Bonyeza hiyo link hapo chini naamini utakubaliana na mimi kuwa huu wimbo si size yetu bali upo level nyingine kabisa. Congrats my sister endelea kupiga kazi kamwe usibweteke. Next level! Video...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wa JF nafta series nzur ya kijasusi, series nzur kama STRiKE BACK,
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Kweli mgema akisifiwa tembo hutilia maji. Vee na ile sauti yake amazing alikuwa na haja gani ya kutumia ma auto tune kama hvo? Au ndo alijua mashimo atafukia kwenye video ????
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Vita vya kiushindani kati ya chibude na mhuni wa k/koo...hunirudish nyuma ushindan kati ya ray na marehem kanumba.... Tusifanye kwa ushabiki lets make fact..then ushabik...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Nikiwa mtumiaji mzuri wa apps maarufu duniani inayoitwa Spotify, kwa mara ya kwanza leo nimesikiliza nyimbo za msanii wetu mkubwa Diamond Platinum ndani ya Spotify. Hakuna nyimbo nyingine kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali. Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi...
26 Reactions
250 Replies
46K Views
Hii ni muvi ambayo nimeitafuta sana bila mafanikio ya kuipata, kama kuna mtu anaweza nitumia download link kama IPO, au hata tu kunipa ka summary au kuadithia, naomba ajitokeze ,Asanteni
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Kokoro katika audio ni wimbo mzuri. Rich Mavoko ameonesha kuwa alihitaji sapoti kidogo afanye mambo makubwa. Baada ya kusaini mkataba na lebo ya WCB, sasa yupo tayari kutoa kila alichonacho kwenye...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom