Mtepetallah JF-Expert Member Jun 30, 2016 230 131 Jan 2, 2017 #1 Kwa wale wasikilizaji wa radio Naomba msaada wenu kati YA clouds FM na magic FM ipi ilianza kurusha matangazo yake?
Kwa wale wasikilizaji wa radio Naomba msaada wenu kati YA clouds FM na magic FM ipi ilianza kurusha matangazo yake?
Ubuntu Master Member Dec 31, 2016 84 92 Jan 2, 2017 #2 Clouds fm nadhani yenyewe 99 magic miaka ya mwanzoni 2000 ila sina uhakika sana.