Msaada:Jina LA hii nyimbo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,321
50,541
DuniA tunapita eeh
Kitakachobaki MILELE ni milima
Hio ni baadhi ya Mistari Yake. Msanii huyu WA zamani anaitwa Nani? Na Sasa yuko wapi?
 
DuniA tunapita eeh
Kitakachobaki MILELE ni milima
Hio ni baadhi ya Mistari Yake. Msanii huyu WA zamani anaitwa Nani? Na Sasa yuko wapi?
Umeruka verse inayosema, binadamu ni muchangaaa! Hapo ndio huniacha hoi, badala ya kusema binadamu ni udongo/mavumbi
 
Jina la Wimbo: Dunia tunapita.
Mpigaji: Samba Mapangala& orchestra virunga
Anaishi Marekani kwa sasa na huwa ana perform na Occidental Brothers Dance Band
Mkuu umechimba deep,
Nasisi tuliokuwa hatujui tumejua,
Big up sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom