mziray45
Member
- Mar 11, 2014
- 27
- 30
naomba kujua kila ninapokaa na wazee na kuongea nao au wakiwa wanamzungumzia mtu kuna hiki kitu huwa wanauliza HIVI AMEOA KABILA GANI??? hili swali inawezekana lina umuhimu kwa upande fulani.....naomba kuwasilisha kwa wale wenye wake au mliokutana na wanawake au kuishi nao mtujuze tabia za asili za wanawake kwenye makabila yao