Muvi kali au 'sirizi' kali ya kichawi ya kuangalia leo

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,383
2,000
Jamani nimejukuta sina pa kwenda leo wala kampani... sasa naomba mwenye kujua muvi au sirizi kali ya kichawi mithili ya merlin au regend of the seeker anambie walau iniburudishe kwa muda huu
 

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,354
2,000
bongo vituko haviishi....sasa kama ni shababa ya kiarabu likija huko kwa kujifanya ke unajua yatakayokukuta!!!,tamaa mbele mauti nyuma hahahahahahahahaha
Lakini kama unajicho zuri tunachapaga tu.maana wewe ndo umesema mpweke
 

Silasy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
658
1,000
tafta collections za final destination na wrong turn....uwe na roho lakn maana hizo zinatisha kwel sio kama za kibongo za kutisha kwa kutema matomato!
Safi sana mm namuongezea akimaliza hizo aangalie Hostel no 1 mpk 3
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom