respect wa boda JF-Expert Member Nov 14, 2013 4,556 3,838 Jan 4, 2017 #2 Daaah aisee..... wimbo mzuri sana Kanikumbusha mbali sana Jd, kipindi hicho anaingia kwenye game na MACHOZI Albamu nzima ilikua fulu vipondo R&B ya ukweli..!!! Asante sana kwa jiwe hili
Daaah aisee..... wimbo mzuri sana Kanikumbusha mbali sana Jd, kipindi hicho anaingia kwenye game na MACHOZI Albamu nzima ilikua fulu vipondo R&B ya ukweli..!!! Asante sana kwa jiwe hili