LameckDitto: Moyo Sukuma Damu, bonge la Song

Ni mara Mia hasingekurupuka kutoa video yake kwanza.

Kingine kilichonifanya niipunguzie kiwango cha utazamaji, ni uvaaji ni kama ame copy na ku paste kwenye video ya Rama dee, "kipenda roho"
 
MOyo jamani sukuma damu,usichanganywe na mengine................ninapata hisia kali sana kwenye wimbo huuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom