Mboni Talk show na ongea na Janeth viko wapi? siku hizi?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,914
19,122
Wakuu habari.

Naomba kuuliza kulikua na hizo talk shows miaka kama miwili iliyopita, siku hizi sizioni, zimeishia wapi?

Au nani anaweza kujua hizo shows ziko chaneli gani.
 
Teh mboni yupo tbc na Janet yupo clauds tv
Chanel tajwa hapo jüu zote zomepoteza umaarufu
Binafsi siangalii hizo chanel kabsa
 
Back
Top Bottom