IRIS 2 & 3

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,955
7,106
Naomba mwenye link za ku download seaon 2 na 3 series ya IRIS tafadhali
 
Mkuu, nimepitia website alizotoa kiongozi hapo juu. nimeziona IRIS I na II.
Mimi pia niliitafuta sana hiyo II, sikujua kama imetoka mpaka leo. check humo kwenye "gooddrama" utaipata.
 
Ahsante wakuu, ngoja niisake nione fujo za Bhae Son Kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom